SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,336
- 4,695
Essence ya maadili ni Mungu na sio vinginevyo. Chimbuko la jambo kwamba ni jema au baya ni kutokana linaonekanaje kwa Mungu. Kwamba Mungu analipimaje suala hilo? Kama sheria inasema kwamba when two consenting partners wanapofanya tendo la ndoa basi inakuwa siyo crime, hiyo haimaanishi kwamba reasoning kama hiyo imevuka duara ya mashaka juu ya jambo lenyewe.
Na hata kuwepo kwa sheria hakuzuii wanadamu kutafuta njia ya kuishi vema zaidi na kiadilifu. Kujaribu kufikiria hivyo ni kuonyesha kwamba binadamu ni viumbe wanaogota kifikra.Kwamba maadamu tulishatunga sheria juu ya jambo Fulani basi ibakie hivyo tu.
Karume, unasadiki katika moral theology ipi? Au kwa kutokana na background ya imani yako ndio maana huoni umuhimu Wa kila wakati kuboresha maadili? Hivi wewe wazazi wako wangalizingatia na kukumbatia sheria kwamba when two consenting partners meet sexually and oppositely that alone does not constitute a crime, Leo wewe ungalikuwepo hapa duniani?