Najiuliza, ni kutoelewa Job Descriptions zao ama nini?
RC wa Dar, Paul Makonda anaanzisha operesheni ya kuwashughulikia Mashoga, Wizara ya Mambo ya Nje inakuja na tamko kukanusha kuwa huo ni...
Kumekuwa na wimbi wa vikampuni vinavyojihusisha n kilimo vikidai wanakulimia/kufuga huku ww ukitoa gharama zote za shughuli alafu kwenye mavumo mnakatana kwa percent mara nyiingi hufanya 25% kwao...
Dalili na picha zinaonyesha Uwenda Rais akajibu kwa kishindo issue ya mashoga ila sio kama vile tumezowea baada ya kujuwa kilicho zuwa haya mambo na kufanya maamuzi sahihi.
Note
Hili swala sio...
Salaam!
Kumekuwa na taharuki na sintofahamu na kuwagawa Wananchi juu ya Suala la ushoga,Usagaji na mambo yanayofanana na hayo!
Kwa kweli ni simanzi pale Mtu anaanza kujitajia majina kwa kudai ni...
Kutokana na baadhi ya mawakala wakubwa wa utalii duniani kufuatilia kwa makini mbinu zinazotaka kutumiwa kupiga vita baishara ya ushoga nchini, tayari baadhi ya mawakala wakubwa wa utalii duniani...
Wema Sepetu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo asubuhi kusubiri kusomewa mashtaka ya usambazaji wa picha za faragha mtandaoni.
Anashtakiwa kwa kosa la kuweka picha zake zenye maudhui...
Inasemekana Alexandre the Great alikuwa shoga. Fikiria huyu mwanaume aliyekuwa na nguvu ya kuteka nchi na kuendeleza himaya yake lakini hakuwa mkamilifu.
Roman Army ilikuwa na mashoga...
Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
Nnataka kukopa kwenye benki ya kilimo ADB naomba wanaojua wanipe ushauri nifanyaje...
TSemlingwa
S3 minutes ago
TNone E
UNWATCH
•••
S
Semlingwa
New Member
3...
Magufuli anasema hatatoa fedha kwaajili ya kwendesha mchakato wa katiba mpya, watz tuchangie maana kama kwenye maafa tunachanga mpaka zingine zinaenda kujenga mjengo ya serikali tunashindwa vipi...
Itifaki imezingatiwa,
Naomba kudeclare mimi ni mtu nisiyependa kusikia hata neno ushoga likitamkwa achilia mbali vitendo vinavyofanywa na watu wanaovifanya vitendo hivyo. Hivi karibuni kutokana...
Bado tuna nafasi ya kubadilisha upepo mbaya unaotaka kuvuma upande wetu...kama tukiwa weledi, kama tukiwa na tafakuri kama tukiwa na hekima na busara tunaweza kufanya kitu tofauti kabisa na hiki...
1. Mwanamama mwenye Mtoto mdogo anajua kabisa kuwa Mabasi huwa yanajaza mno lakini bado analazimisha tu Kusafiri na huyo Mtoto kwa safari ndefu akitegemea kuwa atapishwa Kiti wakati kumbe hata...
Habari Wana ndugu, naomba kuuliza hapa mtaani tumeamriwa kulipa kila Kaya shilingi elfu kumi ya ujenzi wa Bara bara,
Ambaye Hatolipa watachukua kitu chanye bei sawa na hiyo hela au Zaid ya hiyo...
Wanabodi,
Sisi wakristo tunaamini kabisa kwamba nguvu alizokuwa nazo Yesu Kristo kama angezitumia siku ile anasurubiwa ingekuwa ni hatari kubwa; alikuwa ana uwezo wa kuwafanya wanaomtesa wawe...
Wakuu habari,
Naomba niombe radhi kama endapo uzi huu utamuumiza yeyote yule kwa namna yoyote ile. Lengo la kupandisha huu uzi siyo ku-mu-offend yeyote bali ni kupata tu majibu ya kisayansi au ya...
Tunapokuwa mashuleni moja ya vitu ambavyo tunaanza kujifunza ni kushiriki au kufunzwa Uongozi (sio darasani ni kwa vitendo zaidi), mwingne anawezasema huwa hatufunzwi isipokuwa tunashiriki kwa...
"My OUTLOOKs"
* * * * * * * * *
<19/FEBR/2016>
*Upelelezi Ni Uchunguzi Wa Kina Unaofanywa Ili Kutafuta Na Kukusanya Ushahidi Ambao Utatumika Ktk Kutafuta Ukweli Dhidi Ya Tukio Fulani...
Mgomo wa wasafirishaji wa abiria katika eneo la bonde la ziwa Rukwa, wakazi wanakabiliwa na adha ya kukosekana kwa usafiri na kulazimika kusafiri kwa pikipiki umbali wa kilometa 160 kufuata hudua...
Kwamba kwa Mwanaume kama ukiona Mjusi mdogo anakudondokea mara kwa mara au anakatisha karibu nawe basi jua ya kuwa kuna Mwanamke umemjaza / umempa / umempachika Mimba au Ujauzito siku kati ya 7 au...