Nahitaji msaada wenu great thinkers...

Semlingwa

Member
Oct 21, 2018
7
5
mm.png


close.png




Nnataka kukopa kwenye benki ya kilimo ADB naomba wanaojua wanipe ushauri nifanyaje...
TNone E

UNWATCH
•••
S
Semlingwa
New Member
3 minutes ago
#1
Ndugu zangu humu jf nnajua humu kuna watu wa aina tofauti maboss wa mawizara na mabenk naomba muongozo wenu Mimi nikijana nimemaliza chuo tangu 2011,kwa kweli tangu nimemaliza chuo sijawahi kupata kazi ya maana ya kuweza kuniwezesha kujitegemea maana kama mnavyojua kazi za mauzo mtaani vitu vya promotion kitu cha elf 3 uuze 3500 ndio 500 yako unaweza kuzunguka kutwa mzima nikaambulia elf 5000 halafu hata Siku 2 nisipate kitu,Leo nimekaa nimefikiria nimeona nirudi kijijini nikafanye kilimo nimeamua kwenda kijijini sababu tunaeneo kubwa ambalo itakuwa rahisi kwahyo kama kuna anaye jua mashart ya kupewa mkopo maana mzee magu kila siku anatangaza kuna hela benki ya kilimo lakini sijui mashart yake nifanyaje maana nnajua itakuwa dsm hyo benk naweza kuja dsm nikakosa vigezo naomba mwenye uelewa vitu vinavyoitajika
 
Back
Top Bottom