Ukweli kuhusu ushoga

Ukweli kuhusu ushoga

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Inasemekana Alexandre the Great alikuwa shoga. Fikiria huyu mwanaume aliyekuwa na nguvu ya kuteka nchi na kuendeleza himaya yake lakini hakuwa mkamilifu.

Roman Army ilikuwa na mashoga, walifanya kwa siri kubwa kwani ilikuwa ukigundulika unauliwa. Wengi baada ya kustaafu ilibidi waoe ili kuficha aibu kwenye jamii.

Mashoga wa Ulaya wamepigana sana kupata haki sawa. Ni mpaka miaka ya 1960 wanaume walifungwa kwakuwa mashoga. Waliitwa insane na walitengwa na jamii.

Mashoga matajiri kama wakina Elton John, Terrence Higgins na wengineo wametoa mchango mkubwa sana katika utafiti wa Tiba ya UKiMWI.

Tofauti kubwa iliyopo ni tofauti ya uchumi kati ya nchi zetu na nchi za Ulaya. Vijana wetu wadogo wengi wako hatarini kujihusisha na matendo ya kishoga kwasababu za ki uchumi tofauti na vijana wa Ulaya ambao huchagua maisha hayo.

Nguvu nyingi ielekezwe kuokoa vijana kiuchumi kwa mipango endelevu.
 
Mashoga wanatafuta watu maarufu na waliokuwa na nguvu katika historia wanawapakazia kuwa nao walikuwa mashoga ili kujustify matendo yao. Siungi mkono jinsi makonda anavyoendesha kampeni yake maana huwezi mdharirisha mtu kwa kusema tu bila kuwa na ushahidi maana kama ni kusema hata yeye alishasemwa kuwa ni kati yao lakini akikujua unamsema nina hakika anakuchukulia hatua.
Lakini ninashauri tuangalie makuzi ya watoto wetu maana haya mambo yanaanza mtu akiwa mtoto na siku hizi wazazi wanapeleka watoto boarding hawana hata muda ya kuwalea vizuri.
 
Ninakubaliana na wewe kabisa, nani haya mambo ya Baba kumaliza kazi na kukalia viti virefu yapungue. Rudi nyumbani umfundishe mtoto wako kufua shati lake la shule.
 
Sure toto la kiume limelegea legea mikono soft linachamba na kujishika kiuno. Toto la kike lina element za kiume
 
Dhambi ni dhambi tu, Upuuzi ni upuuzi, uchafu ni uchafu tu na upumbavu ni upumbavu tu,haijalishi imefanywa na proffesor au mtu mashuhuri.
Imani yangu inaniambia ushoga sio dhambi pekee mbele ya macho ya Mungu. Sitamtupia mtu jiwe kwani it is written "Let who is without sin, cast the first stone!!". Naomba rehema na toba Mungu aniepushe na kuhukumu watu kwani Yeye ndiye mwenye haki hiyo.
 
Tofauti kubwa iliyopo ni tofauti ya uchumi kati ya nchi zetu na nchi za Ulaya. Vijana wetu wadogo wengi wako hatarini kujihusisha na matendo ya kishoga kwasababu za ki uchumi tofauti na vijana wa Ulaya ambao huchagua maisha hayo.

Bitter truth.
 
Imani yangu inaniambia ushoga sio dhambi pekee mbele ya macho ya Mungu. Sitamtupia mtu jiwe kwani it is written "Let who is without sin, cast the first stone!!". Naomba rehema na toba Mungu aniepushe na kuhukumu watu kwani Yeye ndiye mwenye haki hiyo.
Sahihi sana
 
Subirini mletewe posa za vijana wenu wa kiume wakitaka kuolewa na wanaume wenzao.

Sioni sababu za ku-justify ufiraji na ufirwaji, ni chukizo mbele za Mungu na hatuna budi kulipinga kwa nguvu zote, hao kina Elton John na nchi zao tuwaache huko, let's shape our societies.

Mtakapoletewa posa vijana wenu kutaka kuolewa na vijana wenzao ndio mtafunguka akili.
 
Mashoga wanatafuta watu maarufu na waliokuwa na nguvu katika historia wanawapakazia kuwa nao walikuwa mashoga ili kujustify matendo yao. Siungi mkono jinsi makonda anavyoendesha kampeni yake maana huwezi mdharirisha mtu kwa kusema tu bila kuwa na ushahidi maana kama ni kusema hata yeye alishasemwa kuwa ni kati yao lakini akikujua unamsema nina hakika anakuchukulia hatua.
Lakini ninashauri tuangalie makuzi ya watoto wetu maana haya mambo yanaanza mtu akiwa mtoto na siku hizi wazazi wanapeleka watoto boarding hawana hata muda ya kuwalea vizuri.
Ushoga unaweza kuchukuliwa ni hali ya mtu binafsi na ikapuuziwa kiasi.Tatizo kwangu ni hao mashoga wanapofanya juhudi za makusudi kuutukuza na kutafuta wafuasi utadhani ni dhehebu la dini.
 
Back
Top Bottom