Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,418
Wakuu habari,
Naomba niombe radhi kama endapo uzi huu utamuumiza yeyote yule kwa namna yoyote ile. Lengo la kupandisha huu uzi siyo ku-mu-offend yeyote bali ni kupata tu majibu ya kisayansi au ya kiroho kama yapo.
Kwa maeneo niliyoishi sana, hasa kijijini, nimeona wajane walio wengi ni wa kike lakini wa kiume ni wachache sana.
Je haya ni coincedence au kuna sababu za kitaalamu zozote kuhusu hili?
Au kuna maelezo yoyote ya Kiroho kuhusu hili?