Waungwana Tutafakari: Tatizo la Ushoga Tanzania

guzman_

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,255
2,073
Itifaki imezingatiwa,

Naomba kudeclare mimi ni mtu nisiyependa kusikia hata neno ushoga likitamkwa achilia mbali vitendo vinavyofanywa na watu wanaovifanya vitendo hivyo. Hivi karibuni kutokana na witi wa mkuu wa mkoa wa Dar kufichua majina ya watu hawa na list maarufu iliyopewa jina la "Konki Konki Konki List" imetupa wakati mgumu sana baadhi tunaolaani vitendo hivyo.

Jambo la kushangaza ni kuwa watu maarufu sana wameweza kufichuliwa achilia mbali hao mnaoishi nao mitaani huko. Hii inaonyesha namna hili tatizo limekua kwa kasi na limeanza kuzolekea miongoni mwa wanajamii kama suala la kawaida. Ajabu ya pili ni pale hata member maarufu hapa jamiiforum wanathubutu kutetea huu ufirauni na kuponda juhudi za Makonda na Konki master. Bado hili nalo linatupa ukakasi. Watanzania tumeshindwa kujenga viwanda, kupambana na umasikini na hali duni za maisha ila hata hili la kulinda utamaduni na mila zetu tumeshindwa. Kuna mtu alishaturoga walai.

Kama Mwl. Alivosema hatuwezi kumaliza matatizo kwa kujidanganya kama hayapo... mimi ni mmoja ya watu wasioamini kabisa mwanaume lijali na utamu wa hawa dadazetu ukaamua wewe ndo uliwe au ule mwanaume mwenzio.

Wito wangu kwa serikali na wadau katika hili tusisikilize kelele za chui wala mamba hawa wajinga lazima wabainike na waadhibiwe na hatua stahiki zichukuliwe. Tunaweza kuona kama jambo la kawaida ila miaka 20 baadaye sijui tutakuwa na Tanzania ya namna gani.

Labda hili litatupa mwangaza tusiopenda na kulaani huu ufirauni. Nini hasa sababu kubwa ya mtu lijali kufanya huu ujinga. Ni umasikini, malezi, utandawazi au nn hasa sababu yake. Mana hata vyombo vya habari vimekuwa vikisaidia kueneza wanapata faida gani hasa. Hebu waungwana tutafakari na kulijadili hili.

Nawasilisha
 
Hahaha ushoga sio tatizo la jamii ni utashi wa mtu mmoja mmoja, hauambukizi kama kipindupindu au malaria, hivyo kama wewe sio shoga hutakuwa shoga, usijiumize kwa usiyoyajua waachie wenyewe!
 
Hahaha ushoga sio tatizo la jamii ni utashi wa mtu mmoja mmoja, hauambukizi kama kipindupindu au malaria, hivyo kama wewe sio shoga hutakuwa shoga, usijiumize kwa usiyoyajua waachie wenyewe!
Nilishatahadharisha hili kuwa wengi wenu mmeshatumikia kifungo hiki.. Kama ni jambo la kawaida kwa nn jamii iwanyoeshee kidole nyinyi kwa nn vitabu vitakatifu vikatae matendo yenu machafu. Na tunaelezwa Mungu aliamua kuteketeza Sodoma na Gomora kwa matendo haya machafu mnayotenda. Iwenje sasa tubaki tumetulia na tuwaachie mkiletea laana kwenye jamii
 
safari hii mashoga lazima wahame nchi au la waache mara moja huo ushenzi, kamwe hatiwezi kuuvumilia huu uozoo, lazima wasakwe kila kona na hao wanao jaribu kutetea eti haki zao wachukuliwe hatua kali
 
Back
Top Bottom