Nani atazikusanya... watu tunaowaamini hawaitaki, wale wa upande wa pili ruzuku tu n shida kila siku watu wanalalamika kua haitumiwi ipaswavyo... wajanja wachache wanazpga, sasa hizi za katiba s ndo yatakua yale yale alyoyakataa mheshimiwa ya watu kupga poshoMagufuli anasema hatatoa fedha kwaajili ya kwendesha mchakato wa katiba mpya, watz tuchangie maana kama kwenye maafa tunachanga mpaka zingine zinaenda kujenga mjengo ya serikali tunashindwa vipi hapa, kama shida ni pesa?
Tukichanga zitaelekezwa kwenye SGR na nyingine kufanyia matengenezo viwanja vya michezo vya CCM.Magufuli anasema hatatoa fedha kwaajili ya kwendesha mchakato wa katiba mpya, watz tuchangie maana kama kwenye maafa tunachanga mpaka zingine zinaenda kujenga mjengo ya serikali tunashindwa vipi hapa, kama shida ni pesa?
Changia kwenye mambo km ya kujenga madarasa, zahanati,mashule, vituo vya wazee,vituo vya watoto wa mtaani, vituo vya kusaidia walemavu wa wa ngozi, wagonjwa n.k km ni katiba tayari tunayo tangu uhuru.Magufuli anasema hatatoa fedha kwaajili ya kwendesha mchakato wa katiba mpya, watz tuchangie maana kama kwenye maafa tunachanga mpaka zingine zinaenda kujenga mjengo ya serikali tunashindwa vipi hapa, kama shida ni pesa?
Mimi ntamuwa msaidizi wako pia kama. Wewe sina shobo. Na. Kitu kinachontwa hera za tz.Naombeni niwe muweka hazina wenu, sina tamaa na hela hata kidogo na huwa sizishobokei labda iwe dola au pound. Tsh hazinisumbui hata kidogo.
HECHE ALISEMA KM RAIS KAAMUA KUTOTOA PESA WATAINGIA MCHSKATONI BURE
.
.
.ILA SWALI LANGU MOJA INA MAANA RAIS ANATOA PESA AKIAMUA NA HATOI AKIMUA INA MAAANA RAIS NDO KASHIKILIA PESA BILA YEYE HAZITOKI KISHERIA LIKO HILI INA MAANA RAISI NDO KILA KITU KWENYE KUTOA PESA INA MAANA BUNGE HALINA KAZI TENA?..
HAHAHAHA HVY HVY HVYO MKUUHivi kuna kitu kinaitwa bunge?
Au Je,ni jengo la bunge linalotumika kwa shughuli za kiserikali?
HECHE ALISEMA KM RAIS KAAMUA KUTOTOA PESA WATAINGIA MCHaKATONI BURE
.
.
.ILA SWALI LANGU MOJA INA MAANA RAIS ANATOA PESA AKIAMUA NA HATOI AKIMUA INA MAAANA RAIS NDO KASHIKILIA PESA BILA YEYE HAZITOKI KISHERIA LIKOJe HILI INA MAANA RAISI NDO KILA KITU KWENYE KUTOA PESA INA MAANA BUNGE HALINA KAZI TENA?..
MZEE WA YU KNOW KALITIA MFUKONI....KWA SASA SIDHANI KAMA BUNGE LINA FURUKUTA.
Utashangaa pesa zinaenda kujenga makaburi.Magufuli anasema hatatoa fedha kwaajili ya kwendesha mchakato wa katiba mpya, watz tuchangie maana kama kwenye maafa tunachanga mpaka zingine zinaenda kujenga mjengo ya serikali tunashindwa vipi hapa, kama shida ni pesa?
tatizo si kuchanga,ni nani atasimamia na kupokea hiyo michango na uhakika wa matumizi yaliyokusudiwa? kumbu kumbu za tetemeko/lucky vicent hazijafutika.Magufuli anasema hatatoa fedha kwaajili ya kwendesha mchakato wa katiba mpya, watz tuchangie maana kama kwenye maafa tunachanga mpaka zingine zinaenda kujenga mjengo ya serikali tunashindwa vipi hapa, kama shida ni pesa?
Magufuli anasema hatatoa fedha kwaajili ya kwendesha mchakato wa katiba mpya, watz tuchangie maana kama kwenye maafa tunachanga mpaka zingine zinaenda kujenga mjengo ya serikali tunashindwa vipi hapa, kama shida ni pesa?