Jamii mbalimbali duniani zimekuwa na tamaduni za kipekee ambazo zimekuwa kwa kiasi fulani kuwa kama historia ama hadithi za kusadikika licha ya baadhi ya watu kuhusisha moja kwa moja na ukweli...
Habari zenu wana fb. TANGAZO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM, JANA NILIDONDOSHA WALET NDANI INA DRIVING LICENCE MBILI (2), KITAMBULISHO CHA TAIFA PAMOJA NA KITAMBULISHO CHANGU CHA KAZI (TECHNICIAN)...
Ndugu watz wenzangu, leo ni siku ya saba tangu jamaa yangu atekwe na watu wasiojulikana maeneo ya Kibeta kwenye ofisi za kata akiwa na mwenzake. Watu hawa walijifanya ni mapolisi kutoka kituo...
Baada ya Abdulu Nondo kutoa madai kuwa Polisi walimtaka aseme hadharani kuwa anatunwa na Mbowe na Zitto na kwamba baada ya hapo angeachiliwa huru, natoa wito kwa IGP Sirro na wasaidiza wake wote...
Tokea hii ishu ya amber rutty itrend kutokana na video yake chafu kusambaa mtandaoni watu wengi walijitokeza kwa hasira huku wakimpa matusi ya nguoni kwa kitendo cha kufanya kitendo kile.
Lakini...
Wakuu msaada tutani,
Namba maelekezo ya jinsi ya kulipia trafick fines, maana wamenikamata na zile karatasi yao sinayo kwa ss, na leo ndo inaturn kwenye interest yao.
Shukran za dhati...
Habari wanajamvi?
Nishati ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku. Kwa sisi wa hali ya chini tunatumia zaidi kuni na mkaa kama chanzo cha nishati ya kupikia n.k kwani ndizo zinapatikana...
habari wadau..
najua wengi tunajua umuhimu wa idara ya fedha..
nimeshangaa sana kuona kampuni za kigeni kuanza kufuta idara ya uhasibu sehemu zinapofanyia biashara.. mfano TBL imehamishia idara...
........................................Na Kisena Mabuba..................
Mtoto kike anapaswa kulindwa ilikufikia matarajio take au malengo yake. Changamoto anazokutana nazo ni nyingi sana...
Walionunua na kusoma gazeti hili au wenye softcopy saidia kuleta hii habari wanyonge tusome kabla hatujaacha kufanya kazi yao.
=====
SERIKALI imeeleza mapato na matumizi yake katika kipindi cha...
Hello wana JF habari ya siku... Ningependa kujua kitabu cha chanjo kwaajili ya safari za nje ya nchi kinapatikana wapi hasa na gharama yake huwa ni kiasi gani?
Nazungumzia wale vijana walioajiriwa kwenye taasisi mbalimbali za serikali, wengi wenu hamfanyi kazi ipasavyo! Hamko serious kabisaaaa na kazi! Mmepewa vyeo kwa sababu tu ya elimu zenu wengine...
Kupitia TBC Habari jioni hii nimeona na kusikia kuwa Miss Tanzania atatumia Kiswahili ili kuitangaza Tanzania na vivutio vya kitalii katika shindano la kumtafuta mrembo wa dunia yaani Miss World...
Askari Polisi wa Wilaya ya Kinondoni amefanya uporaji kwenye ofisi za kituo cha mabasi yaendayo mikoani cha Ubungo jijini Dar es Salaam.
Oktoba 3, mwaka huu saa tatu usiku, askari aliyefahamika...
Serikali yangu tiifu naomba sana tena sana muwe mnafanya usawa katika jambo hlii.
Ushauri wangu ni kwamba, pale mnapotoa ajira mfano za walimu, mahakimu, askari wa majeshi yetu yote, sekta ya...
Mbona vilio vya social media mitaani sivioni?
Ingekuwa naishi nje ya nchi nikawa napitia tu posts kikundi fulani cha watu kwenye social media, ningeweza kupata picha ya society ya Watanzania...
Fact nlikutana nayo kila mahali kutoka kwa wanasaikolojia ni kwamba mda wa wastani wa kutunza siri kwa mwanamke ni masaa 47 na dakika 15
Je kuna ukweli kwa hili?
Kama ni kweli basi mi ntakua...
Salamu kwa wana Jf wote,
Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye pint ,Ndugu zangu nasumbuliwa sana sijui niseme ni vibaka au watu wa namna gani? huwa wanaingia ndani na kuanza kupekuwa shida...
Salaam!
Kwa Siku Ya Tano Sasa Najitahidi Kufanya Malipo Ili Kuweza Kujisajili, Lakini Napata Sana Shida Kupata Kile Kinachoitwa Control Number. Nimefika hadi Chuoni Na Kukuta Watu Wengi Tu...