Tangazo la kupotea kwa vyeti

Tangazo la kupotea kwa vyeti

bigmanpa

New Member
Joined
Nov 1, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Habari zenu wana fb. TANGAZO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM, JANA NILIDONDOSHA WALET NDANI INA DRIVING LICENCE MBILI (2), KITAMBULISHO CHA TAIFA PAMOJA NA KITAMBULISHO CHANGU CHA KAZI (TECHNICIAN). NAOMBENI MSAADA KWA ATAKAYE VIONA TUWASILIANE KWA NAMBA 0784910127 AU WAKILISHA KITUO CHA POLICE AMBACHO KIPO KARIBU YAKO. Asanten
 
Mbona hujaweka majina ya kwenye vitambulisho/leseni
 
Habari zenu wana fb. TANGAZO KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM, JANA NILIDONDOSHA WALET NDANI INA DRIVING LICENCE MBILI (2), KITAMBULISHO CHA TAIFA PAMOJA NA KITAMBULISHO CHANGU CHA KAZI (TECHNICIAN). NAOMBENI MSAADA KWA ATAKAYE VIONA TUWASILIANE KWA NAMBA 0784910127 AU WAKILISHA KITUO CHA POLICE AMBACHO KIPO KARIBU YAKO. Asanten

Hivyo ni vyeti!?
 
Hahahaha hiyo wallet uloiangusha ilikuwa haina hata Mia ndugu? hahaha Joke!
 
Back
Top Bottom