Nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 mwizi alikamatwa akiwa ameiba radio kiukweli baada ya kukamatwa alipokea kichapo heavy toka kwa wananchi mwishowe akajitokeza MTU mmoja akiwa na msumari mrefu na...
Mjadala Mkali wa kujadili Ripoti ya kamati ya fedha katika Bunge la NNE la Afrika Mashariki,EALA umeendelea Jana huku wabunge mbalimbali wakiendelea kumtupia lawama katibu Mkuu wa jumuiya ya...
HATUA ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuikana kampeni ya kukabiliana na vitendo vya ushoga iliyoanzishwa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda...
Ushiriki wa wabunge wa upinzani ndani ya Bunge unaonekana kuendelea kuwa finyu kutokana na hamahama, huku halmashauri zikizidi kupoteza idadi kubwa ya madiwani na wenyeviti walioingia madarakani...
Leo nilimsindikiza rafiki yangu PPF kwenda kuangalia uwezekano wa kupata hela yake aliyoichangia akiwa kazini. Rafiki yangu aliachishwa kazi yapata miezi saba sasa, na alishindwa kuchukua hii hela...
Idadi ya Wasichana wanaokeketwa imeshuka kwa kiwango kikubwa katika nchi za Afrika Mashariki hii ni katika kipindi cha miaka takribani miaka 20
Utafiti unabainisha kuwa ukeketaji kwa Wasichana wa...
UTANGULIZI.
Ni matumaini yangu wazima nyote. Baada ya Maisha kunichapa mwaka 2016 nikajikuta nimeingia katika kazi ya bodaboda. Kazi ambayo nimedumu nayo mpaka sasa, Licha ya kuwa nimepata kazi ya...
Mkurugenzi wa makosa ya jinai amesema atawashughulikia vikali wale wote wanatuma vijineno vya uzushi mitandaoni sambamba na wale wanaopost picha za ngono.
Chanzo: Uhuru!
Wiki iliyopita, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alitangaza kuanza kampeni dhidi ya ushoga kwa kuunda kamati ya watu 17.
Makonda alisema haki za mashoga hazitambuliki kama haki za...
Waungwana hongereni kwa uhai hadi muda huu......
mara kwa mara napata notification ya app ya TALA. Wanahusika na kutoa mikopo. Ila ukitaka kujiunga unaweka namba yako ya simu sasa wananitisha...
Najua baadhi yenu mshawahi kuiona na wengi hamjawahi kuiona hii movie nzuri ya kusisimua na ya kutisha pia yenye mafundisho ndani yake. Hii ni movie iliyotoka mwaka 2009 inayoelezea maisha ya...
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani nchini, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akiwa Bungeni leo amesema kuwa tangu usafiri wa Bodaboda na Bajaji kuanza kutumika kama vyombo vya usafiri mwaka...
Namtabiria msanii Dimond kuja kuchaguliwa kuwa mtu fulani, mimi huwa siguswi na jambo lolote katikA maisha, ila kuna moja amelifanya limeugusa moyo wangu, na moyo wangu ukiguswa kiasi hiki, basi...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru),Mkoani Kilimanjaro,inawashilkilia waliokuwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kwa tuhuma za kutumia nyaraka za uongo kwa lengo la...
Kundi la paka wapatao 12 wameshiriki mazishi ya Salehe Matiko aliyezikwa saa 10 alasiri ya Agosti 24 katika Kijiji cha Chikalala mkoani Lindi.
Marehemu Matiko aliuawa kwa kushambuliwa na wakazi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa leo itasoma hukumu ya kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi #Tanzania (TSNP), Abdul Nondo. Katika kesi ya msingi, Nondo anakabiliwa na makosa mawili...
BARAZANI KWA RAJAB
Jamal Khashoggi: kufa kufaana
Na Ahmed Rajab
KAMA nilivyoeleza katika makala ya mwanzo niliyoandika kuhusu mauaji ya mwandishi Jamal Khashoggi (“Sema unayotaka kusema...
Mjadala Mkali wa kujadili Ripoti ya kamati ya fedha katika Bunge la NNE la Afrika Mashariki,EALA umeendelea Jana huku wabunge mbalimbali wakiendelea kumtupia lawama katibu Mkuu wa jumuiya ya...