Tetesi: Watu wema wanaoshindwa kumuacha shetani jiulize mwana jf

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Kwenye maisha kuna mambo ya ajabu sana kuna watu wema kabisa na mbinguni wataenda ila kwa mifumo na namna fulani fulani ya maisha watu hao wanashindwa kujidisconect na shetani

maisha ni ya ajabu sana utakuta jambazi linadhulumu wafanyakazi wake linateka watu yani ni liharamia lakini kuna watu wema wako nalo wanarafikiana nalo na wanashindwa kujitoa kwalo

mwana jf jiulize ni kwanini iko hivi hata mtaani kwako kuna lijambazi uwaji ila lina marafiki kibao ambao ni wazee wa kanisa mashehe na mapadri hivyo ndivyo maisha yalivyo

karibu tutafakuri pamoja

superbug
 
Hahaha hujui ujambazi ni kazi?! Jambazi anaunga mkono "hapa kazi tu" urafiki ni haiba yake nzuri anapendwa hata na wale anaowaibia. Na jambazi anajua watu wa kuji associate nao, kama mapadri na wachungaji hii inampa public trust na kufanya kazi yake iwe rahisi. Jambazi anahudhuria jumuiya nyumba zote, na anasali vizuri tu, na mwisho atatubu dhambi zake, na atazijutia na mungu atamsamehe na ataingia peponi na wewe.
 
mkuu post yako imenifikirisha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom