Hivi kwa nini ,,gay" ana tabia za kike?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Wakati yeye siyo Mwanamke, na wala hana genes za kike, iweje ajifanye Mwanamke? Kwa nini asiwe tu na tabia yake ya ki-gay ya kipekee, kwanini ili awe gay ni lazima ajifanye Mwanamke?

Ila pia wapo ambao Wana hormones za kike lakini sio ma gay
Pia wapo ambao Ni ma gay ila hawajionyeshi
Hao wengine wanaojionyesha labda wanatangaza biashar..wako tele pale mwananyamala na pale kinondoni mtaa wa idrisa..aibu
 
Tuambie tabia ya pekee ya ki gay

Siijui lkn ni lazima iwepo ambayo siyo ya kike wala kiume, kwa maana gay siyo Mwanamke, hivyo kama u- gay upo kiasilia ni lazima wangekuwa na tabia yao ya kipekee, yaani akama angezaliwa kisiwani peke yake ingeonekana tu!
 
Sasa gay ni wakiume, kama unaamini Mungu, alliumba jinsia mbili tu me au ke. Either kisayansi mtu anaweza kuwa na hormone zote zikibalance sawia au wengine zinazidi mfano me zinazidi za ke na vice versa.

Nadhani hiyo inaweza sababisha mtu mwenyewe ni me kuwa na hormone za ke nyingi akawa shoga.

Sababu nyingine ni watu wanatafuta PESA SABUNI YA ROHO kwa njia yoyote ile.

Sababu nyingine pesa za masharti (mganga anaweza kwambia uwe unageuzwa ili upate pesa, usifukuzwe kazi, upande cheo, umaarufu nk)

Hivyo yanii...

Ila sababu ya kwanza ndio inamfanya awe natabia za KIKE hasa ambao hao wanafanya sababu ya nyege za KIKE
Siijui lkn ni lazima iwepo ambayo siyo ya kike wala kiume, kwa maana gay siyo Mwanamke, hivyo kama un gay upo kiasilia ni lazima wangekuwa na tabia yao ya kipekee, yaani akama angezaliwa kisiwani peke yake ingeonekana tu!
 
Siijui lkn ni lazima iwepo ambayo siyo ya kike wala kiume, kwa maana gay siyo Mwanamke, hivyo kama u- gay upo kiasilia ni lazima wangekuwa na tabia yao ya kipekee, yaani akama angezaliwa kisiwani peke yake ingeonekana tu!
Usipate shida, kamuone yule kiongozi wa UV chichiem ambaye nasikia mumemhamishia mji kasoro ocean atakuelewesha hata kwa vitendo
 
Wakati yeye siyo Mwanamke, na wala hana genes za kike, iweje ajifanye Mwanamke? Kwa nini asiwe tu na tabia yake ya ki-gay ya kipekee, kwanini ili awe gay ni lazima ajifanye Mwanamke?

Mkuu kwa nini umependa kuchimbua siri ilijificha?
Kwa kifupi dhambi ya ushoga ukiijaribisha unaweza ukaendelea siju zote.
Inasemekana kufilwa kuna raha iliyopitiliza, utapata maumivu kama mwanamke anavyotolewa bikra ila ukimpata mfiraji mtaalamu uta enjoy sana.
Wengi wanaofilwa hasa wanaume wanaona ni bora angezaliwa mwanamke ili awe anatiwa tena kutiwa ni raha kuliko kumtomba mwanamke, tena wanadai ninyi ambao hamliwi mnakosa kitu kizuri sana maishani.

Afu nilishatoa uzi kwamba tuache kuongelea ushoga, yaani don't ask don't tell. Usitake kujua sana hizi mambo utaishia nawe kuwa shoga. Ona sasa nimefunguka hadi unajilaumu kwa nini umesoma huu uzi.
 
Lkn wenyewe wanakwambia kwamba gay anazaliwa na hajifunzi, hivyo maana yake ni kwamba hata angezaliwa kisiwani peke yake angekuwa gay tu!
 
Wakati yeye siyo Mwanamke, na wala hana genes za kike, iweje ajifanye Mwanamke? Kwa nini asiwe tu na tabia yake ya ki-gay ya kipekee, kwanini ili awe gay ni lazima ajifanye Mwanamke?

Cheki nao hao watakupa majibu
tapatalk_1541403796596.jpg
 
Hawa jamaa sometimes wanakuwa na hormone imbalance yaani hormone inayovontrol zile tabia za kike inaongezeka kwake au hormone ya kiume inapungua kwahio jamaa anakuwa wa kike kike..

Lakini kuna mashoga mengine yamejifunza tu hii tabia kwahio wanajifanya wa kike kike ili kuvutia wateja maana wateja wakuu ni wanaume ambao wanapenda wanawake kwahio lazima wajiweke kike kike ili wapate soko la kupapaswa
 
Hilo jibu la pili linaleta maana kiiasi fulani, kwamba wanajifanya ili wavutie wanaume ambao pia huvutiwa na tabia za kike!
 
Wakati yeye siyo Mwanamke, na wala hana genes za kike, iweje ajifanye Mwanamke? Kwa nini asiwe tu na tabia yake ya ki-gay ya kipekee, kwanini ili awe gay ni lazima ajifanye Mwanamke?

Wewe dogo kati ya hizo tabia mbili ulizotaja moja unayo wewe kama sio shoga basi ni mwanamke
 
Back
Top Bottom