Halotel kazi imewashinda

Halotel kazi imewashinda

The Iron

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
1,397
Reaction score
1,474
Leo ni siku karibu ya pili,internet ya halotel ipo inasumbua tu

Kama kuna tatizo ni vyema mkawaeleza wateja wenu na sio kukaa kimya
 
Kweli mkuu mi nilikausha nikajua tecno yangu ndio ishaanza kuzingua.
Daaa yani nina full bando lakini ikawa ina scratch balaaa
 
Wanazingua sana...yani mpaka kifurushi changu kinakaribia kuisha sijatumia hata nusu ya MB
 
Halotel wajirekebishe...Wasipoangalia wataangukia pua kama mtandao wa Smart
 
Wanaboa sana...yani mtu umewekema bundle ufanye issue flani mtandaoni alafu mtandao unazingua karibu siku nzima
 
Back
Top Bottom