Tetesi: Kenya na Uganda zinapenyeza majasusi kupitia shule za binafsi Tanzania

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
 
Asante kwa taarifa, naamini litawafikia wahusika.
 
Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
Umenifanya nimkumbeke zitto hapa aliongea hivihivi
 
Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
Asante. Nadhani wanalifanyia kazi.
 
Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
Hofu yako ni kuachwa nyuma .
Je waTz walioenda kufundisha kiswahili pote ulimwenguni nao watiwe msukosuko ?!.

Tukubali shule zetu za serikali zima mapungufu kwa kiwango Kikubwa kulinganisha na shule za binafsi.
 
Naikumbusha serikali ifwatilie shule za private zinazofundishwa na wakenya na waganda kuna mashushushu wengi sana wanatupeleleza kutokujua kwetu kingereza ni upenyo wa wenzetu kuingiza majasusi hatari kwa usalama wa taifa letu nimewatambua baadhi ninaoishi nao mtaani wana mienendo isiyo ya kawaida tiss kuweni makini
Halfu wakati wa uchaguzi wa 2015 wote waligeuka wapiga debe wa Lowassa. Pamoja na hawa wanaokuja kwa kivuli cha dini! Hata magazeti mengi ya Kenya na wachambuzi wao wanapenda kurusha madongo sana kwa rais wetu.
 
Oh nimekupata, kwa hiyo wote waliomuunga mkono lowasa 2015 ndio hao majasusi wa kigeni?
Oh hujanipa! Inaelekea ''unaelewa'' kwanza ndiyo unasoma baadae.Nimesema hivi: mwka 2015 kulikuwa na wakenya wengi wako Tanzania kwa shughuli za dini n.k halafu wakageuka wapiga debe wa Lowassa. i.e. kumfanyia kampeni wakati wao siyo raia na hawaruhusiwi!
 
Mimi nilidhani wamepenyezwa serikalini kumbe mashuleni huko watawafanyia ujasusi wanafunzi na walimu waliochoka wenzao
 
Oh hujanipa! Inaelekea ''unaelewa'' kwanza ndiyo unasoma baadae.Nimesema hivi: mwka 2015 kulikuwa na wakenya wengi wako Tanzania kwa shughuli za dini n.k halafu wakageuka wapiga debe wa Lowassa. i.e. kumfanyia kampeni wakati wao siyo raia na hawaruhusiwi!
Hahaha mkuu Mada ni hao wageni, Sasa ulivyosema waliunga mkono sikuona haja ya kuwataja watokako.

Labda Kama unataka kupenyeza siasa kwenye hii Ishu. Ila iko very sensitive.
 
Mmmmhh..........wamekusikia watalifatilia I hope.......lkn....hv shushushu wanakuaga na mienendo ipi ya tofauti kwani? Yawezekana hata mtaani kwangu wapo......hebu nipe baadhi ya mienendo na tabia zao kdgo
 
Mnaosema mapungufu ya shule za serikali ndiyo chanzo cha kuajiri walimu wa kigeni nadhani nanyi ni wageni! Ktk pitapita yangu nchini, shule zinazofanya vizuri iwe private ama government walimu 100% ni watanzania. Hizo zingine zinaajiri walimu kwa kigezo cha kuongea lugha za kigeni lakini around 50% wanafundisha vitu vya ajabu na 50% wapo vizuri na kati yao 70% to 95% wapo shule zinazotumia mitaala ya nchi zingine. Ubovu wa shule za serikali hautatuliwi kwa kuagiza/kuajiri walimu kutoka nje ya nchi ila ..........!!!!!!
 
Back
Top Bottom