Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanini ramli inakatazwa? Mganga kukusimulia matukio yako ya Nyuma na kuweza kumtambua mbaya wako na ukamuona LIVE ni Vibaya? Nani alileta uchawi? Kama mganga anauwezo WA kutambua matukio...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwalimu wa sekondari ajikuta kalazwa chooni Tukio hili la kushangaza limempata makamu mkuu wa shule ya sekondari Chato, iliyopo wilayani Chato.. Mashuhuda ambao walikua ni wanafunzi walimkuta...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama nilivyoomba hapo juu serikali ilikataza waganga wa jadi wasipige ramli kutokana na wanasababisha mifarakano mikubwa kati ya familia fulani na familia fulani hata kufika watu kuuana. Na hata...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwani mtu ukiumwa ukienda hospitali ukisikia mwili wako haupo vizuri ukapate vipimo kwa daktari anaweza akakupima lakini akakupa majibu kukufahamisha kua hauna tatizo upo safi isipokua akakupa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Balozi wa Nyumba 10 katika Kitongoji cha Chang’ombe Kijiji cha Chamwino Ikulu, Simango Asheri amesema alishuhudia mwili wa Mariam Said (17) anayedaiwa kuuawa nyumbani kwa mganga wa kienyeji...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Waheshimiwa wana JF, Natoa salam za heshima na upendo kwenu. Leo napenda kuwaletea hili jambo la wa waganga wa jadi kutapakaa mitandaoni na mitaani. Ukikata kona sehemu yoyote hususani Dar es...
1 Reactions
7 Replies
978 Views
[https://1] Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu Bwege, (CUF), amesema alifuatwa ili akubali kununuliwa kwa kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akakataa. Bwege amesema hayo jana...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
NAWAZA KISOMI ZAIDI. Mpaka sasa ni miaka mitatu 3 wanasema wamejenga viwanda 3000. Ingawa hatuvioni mtaani. Yawezekana vimejengwa japo mimi sijabahatika kuviona. Ila wewe unayesoma hapa umeviona...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Bahati nzuri waziri wa afya wewe ni mama pia! Imeibuka kasumba au kadhia mbaya sana ya baadhi ya wakunga na madakitali kuwakagua utoko wawake kila wanapoenda kliki ya uzazi. nasema ni kadhia...
38 Reactions
219 Replies
25K Views
Shirika la kutetea Haki za Binaadamu la Amnesty International limeripoti kuwa wanaume 10 wamekamatwa na polisi Zanzibar kwa tuhuma za kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. wamekamatwa fukwe ya...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mahakama kuu ya Tanzania imekubali maombi yaliyowasilishwa kwa njia ya petition na Mwalimu Oluoch ya kutoshiriki siku ya usafi kitaifa ya kila jumamosi ya mwisho wa mwezi. Mwalimu Oluoch ambaye...
21 Reactions
260 Replies
39K Views
Tumshukuru mungu kwa kufika Siku hii ya Leo.ni siku bora kabisa ya IJUMA KWA WALE WAUMINI WA KIISLAMU.katika vitabu vya dini zote vimeandika tupendane.hili neno linaa maana pana sana tafasri...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Kasema polisi walimwambia akikiri mwenyewe kwa kinywa chake kwamba anatumiwa na Mbowe na Zitto basi atafutiwa mashtaka yote.Wakamwambia wangeitisha mkutano wa wanahabari halafu akiri hadharani...
39 Reactions
188 Replies
23K Views
Bibie Amber Rutty kama anavyojulikana na wengi ni zao la uharibifu ndani ya jamii iliyooza na malezi yaliyopooza na kukengeuka utu, staha, hadhi na heshima ya mwanamke Lawama nyingi zimemwangukia...
47 Reactions
189 Replies
15K Views
Zanzibar. Baada ya kuenea taarifa za kukamatwa watu 10 katika shehia ya Pongwe wilaya ya Kati mkoa wa Kusini Unguja kwa madai ya kujihusisha na matendo ya ushoga, Jeshi la Polisi limekanusha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana majira ya saa nne na dakika 20 usiku(22:20) nilikwenda katika moja wapo ya sehemu zenye ATM machines za banks tofauti zilizopo off branches (nje ya maeneo yaliyopo matawi ya bank husika) hapa...
64 Reactions
264 Replies
23K Views
Wana Jamii wenzangu habari ya siku ya leo...! Tafadhali ningependa kufahamu ni kwa nini Mafuta ya kula kama Korie, Alizeti na mengine kwa ujumla wake ni ghali sana kuliko mafuta ya Mashine na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
...serikali hii hii inayojinasibu kuwa jeshi lake la polisi linafanya kazi kwa uweledi na kufuata sheria zilizopo linaruhusu kitu hiki. Kuna kipande cha barabara (sina sababu ya kukitaja maana...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kauli ya Waziri Lugola kuwa mashoga wapo salama nchini inasikitisha sana kwakweli hasa ukiangalia video hii
0 Reactions
14 Replies
2K Views
KAMA hujaisikia mbiu, ni vyema ukutangaziwa wazi kwamba wale ambao bado tunahifadhi picha na video za ngono kwenye simu zetu za mkononi kinyume na amri ya Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ya kututaka...
2 Reactions
55 Replies
18K Views
Back
Top Bottom