Intended
Member
- Sep 24, 2018
- 64
- 88
Habari ndugu, nasikitika kutokana na mambo yanayoendelea kutokea katika utoaji Wa huduma mbalimbali nchini Siku za hivi karibuni ili kupata huduma mbalimbali imekuwa inahitajika use na kitambulisho cha uraia,kitambulisho cha mpiga kura leseni au pass ya kusafilia wakati zoezi la utoaji Wa kitambulisho vya uraia linaenda taratibu sana na linachukua mda mrefu mfano nimejiandikisha mwaka Jana mwezi Wa saba mpaka Leo nimefatilia naambiwa bado hawaja kiprint na niwatu wengi bado hawajapata hivyo vitambulisho ingekuwa vizuri serikali itambue hili na ikiwezekana iongeze kasi ya utoaji kitambulisho ivyo kwa watu waliokwisha jiandikisha ili tuweze kupata huduma tunapohitaji