Habari ndugu zangu,
Tangu kuzaliwa kwangu sikuwahi kufahamu chochote kuhusu uchawi, uganga na mizimu ipokuwa nilisoma thread za mshana jr na wengine tu. Sasa huku nilipo naishi kwenye chumba...
Jamaa mmoja mkazi wa Mwanza wilaya ya Kwimba, ameuwawa kwa kukatwa sehemu zake za siri baada ya kufamaniwa na mke wa mtu! Ila inasemekana mwamke huyo alikuwa amekwisha achika kwa mumuwe kwa taraka.
Hii ni mara ya tano umeme unakatika na kurudia ghafla ghafla, kama kuna tatizo Tanesco si mzime kbsaaa,kuliko hii kata rudisha kata rudisha, mtatuaribia vitu
Tanzania imekuwa nchi mfano miongoni mwa nchi nyingi duniani, kuanzia kwenye rasiliamali hadi tabia halisi za Watanzania zimethibitishwa kuwa njema, msingi imara uliojengwa na waasisi wa Taifa...
Kuna wachawi, wanajimu, washirikina wengi ambao wamepaswa kuzungumziwa ma mmoja wapo wa aliyekuwa akifanya shughuli hizi alikuwa ni Sheikh Yahaya. Huyu tofauti na wengine alifanikiwa pia Kupata...
Ndugu wana Jf
Mzimu Wa wizi Wa Mtihani unazidi kuziandama baadhi ya Shule zetu hapa Tanzania.
Shule hii ya Cirket imeendelea kuwa na mienendo mibaya na wahusika wake kupelekwa polisi Mara kwa...
Wakristo na Waislamu wote wanakiri kuwa Yesu alitungwa bila ya mchango wa mwanamume. La ajabu zaidi katika imani hiyo ni kwamba hata uzazi wenyewe haukuondoa ubikira wake, bali uliutakasa: ni...
Kabla mtu hajaanza kulaumu juu ya kujigonga maneno au vitendo ya fulani na fulani lazima mtu aelewe ni wakati gani inakuwa ni mgongano na wakati gani hauwi mgongano.
Kuna mgongano wa vitu vingi...
Nyoka ni viumbe wastaarabu sana. Hawapendi fujo fujo wala kusumbuana na viumbe wengine (hasa binadamu).
Nyoka hupenda kukaa, kuishi na kuvinjari sehemu tulivu sana mbali na viumbe wengine...
Kuna Vitu vinakera hadi vinapandisha Hasira / Jazba hasa Misibani. Hivi inaingiaje akilini tuko Makaburini na Maiti iko mbele yetu au Makanisani / Misikitini na Mwili unaombewa halafu unakuta '...
Jamani samahanini.
Kuna rafiki yangu wa kike (siyo mchepuko, siyo mchumba wala mke) anasumbuliwa na jini toka mwaka 2014. Linamsumbua sana.
Sasa kila wakati ananiambiaga "mwenzio nasumbuliwa na...
Miaka ya nyuma bodaboda walikuwa tishio kwakusababisha ajali kila siku,ila kwa sasa wamepata msaidizi bajaji,Ukweli nafurahi kuona vijana wenzangu waliokuwa mtaani wamejipatia ajira na sasa maisha...
Siku ya leo nimecheka sana, nilikua naangalia taarifa ya habari ITV(maana natumia Ting hivyo napata ITV buree) nikaona taarifa kuhusu mkutano wa wadau wa mifugo uliofanyika Tengeru Arusha. Daktari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.