Ukitaka kutumia mwili wako vyovyote vile upendavyo ni ruksa. Ukitaka kufanya chochote kile fanya. Hujazuiwa wala hutozuiwa maana mwili ni wako, uko nao muda wote na mara nyingi huchungwi.
Ila...
Napata tabu sana na hii dhana!ukisema nataka nijikite katika siasa kugombea jimbo swali la kwanza nalokutana nalo ni je umejiandaa vipi? kwani umechoka kulea familia yako?
Sasa nabaki namaswali...
Makanjibahi wakikuona wewe mfanyakazi Wao wana nguvu za kiroho kukutumia utajikuta unafanya kazi miaka 20 Kwa ujira mdogo na hutapiga hatua.
Nimesimuliwa mhindi anayemiliki Apartments Kwa Jina...
Mimi ni Askali nilioiva huwa sitikisiki hata kwa upepo wa aina gani, Waliojaribu kunitingisa walitingisika wenyewe... baada ya saa 10 j3 hakuna Mfanyabiashara yeyote wa korosho atakayeruhusiwa...
Hii ni KERO kubwa sana kwa wafanyakazi & wajasilia mali, kwa uaminifu mkubwa MTU amemaliza kulipa PESA zenu mlizokuwa mnamdai then linaibuka deni jingine jipya ambalo halipo hata ktk MKATABA...
Mwanasheria msomi Alberto Msando amesema sheria yetu inakataza uingilianaji wa kinyume na maumbile,ambapo mtu anayefanya kosa hilo uhukumiwa kifungo cha miaka 30 kikiambatana na kazi ngumu ya...
Salaam wakuu.
Heshima kwenu wakubwa.
Katika hali isiyo ya kawaida watoto kutoka familia masikini ndio hasa wamekuwa waanga wakubwa na wameathirika pakubwa na suala zima la kukosa mikopo ya elimu...
Rafiki yetu jamaa yetu ndugu yetu bosi wetu kijana mwenzetu tokea arudi amebadilika ukitembelea ukurasa wake kwenye mtandao amekuwa mtu wa mungu mungu sana ..post 5 tokea arudi uraiani ni za...
Vijana wamekua wakichagua fani za kusomea na kujikuta wakilundikana katika fani moja, ilhali kuna zingine zinazohitaji wataalamu ikiwemo wakalimani wa lugha mbalimbali na wataalamu wa lugha ya...
Hapa maskani Nina kibwawa kidogo nafuga samaki kambale....nafuga na bata ambao nawatumia km sehemu ya kuimarisha mfugo wa kambale.
1.kinyesi chao ni chakula cha samaki wanavyoogelea.
2.wanafanya...
Wakuu,nimetokea kuwa addict sana na hutu tudude,kwa wajuvi wa mambo,hivi hakuna madhara yeyote naweza kupata kwa kuwa muhanga wa hiki kinywaji?
kiukweli katika wiki lazima ninywe mara tatu au...
Imani yangu tuko wazima.nikirudisha kumbukumbu nyuma miaka 36 iliopita,naikumbuka siku nilio katwa govi(kutailiwa)siku hii sito isahau kwa kweli.asabuhi niliona watu wengi nyumbani,niliuliza...
Hakuna kitu kibaya duniani kama kuchukua au kudhulumu haki ya mtu.
Kuna watu hawastahili lakini wanatumia nguvu kupata hicho wakitakacho kwa mtu kwa namna yeyote ile isiyo halali.
Matokeo huipata...
Baraza la Ardhi na Nyumba Wilaya ya Geita, limetoa amri ya kukamata na kuuza gari lenye namba T 961 DEZ, aina ya Toyota Land Cruiser V8 la Waziri wa Kilimo, Dkt. Charles Tizeba, ili kulipa gharama...
Namtafuta rafiki yangu wa kitambo hicho!Mara ya mwisho kuonana ilikuwa 2004 Arusha,Jina anaitwa Isaya Peter Makuluga au (Godi) kama upo hapa jamii forum njoo PM rafiki yangu nikupe mchongo
Habarini Wadau,
Bado ninaandika tena kwa uchungu kutokana na jinsi ambavyo uongozi wa TAMISEMI na UTUMISHI ngazi ya TAIFA na MIKOA inavyowatesa watumishi kwa kushindwa kuturudisha katika mfumo wa...
Kwa kiasi kikubwa kumekuwa na upotoshaji mkubwa wenye lengo la kuweka sintofahamu kwa jamii na kugombanisha kwa maksudi Serikali dhidi ya wananchi wake, hivyo ni vyema suala hili likatolewa...
na tangu s300 ziingie syria,ndege za israel hazijaruka kabisa,wanasema hazionekani kwenye rada(stealth),si ziende kupiga syria kama kawaida,hazitaonekana na rada ya s300,au kuna tatizo jingine?..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.