Kuhusu Flyover inayojengwa Ubungo mataa Dar es salaam

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,700
Reaction score
4,126
Awali ya yote wakubwa shikamooni, wadogo hamjambo?

#Naombamoderatorsmsifuteposthiinikwamanufaayawote.

Awali ya yote naipongeza serikali kwa ujenzi huu wa flyover ya ubungo mataa...

Kwa waliopita pale wataungana na mimi kuwa barabara imetanuliwa pembeni mwa barabara kuu. Lakini sioni wachina wakitengeneza nguzo za kushikia barabara zitakazopita juu.Je kuna uwezekano kuwa flyover haitajengwa ila barabara tu ndiyo itatanuliwa?

Maengineer na mwenye uelewa wa hili naomba uje utueleweshe katika hili.

NAOMBA MODERATORS MSIFUTE UZI HUU KWA MANUFAA YA WOTE!!

Na bampami
ahsanteni.
 
Then that is not a flyover! By definition, hicho unachokisema does not qualify!
 
Macho yako hayana ushirikiano
Mdogo wangu kwa status hii, nadiriki kusema nimekusamehe....Nakiombea Baraka telee...
Screenshot_20181111-183040.jpeg
 
Kuna vi draft fulani pembeni nadhani pale ndio columns zitasimamishwa
 
Hela hamna ya kujenga flyover alikuwa akitegemea za korosho ikabuma akachanganyikiwa na ku panic hadi kurumia mkwara wa jeshi.
Acha kutoa maneno ya kutoka katika vijiwe vya Chimpumu! Mambo ni moto toka ubungo hadi mbezi mwisho wewe endelea kubwabwaja huko nje ya TZ
 
Watanzania bwana hovyo kabisa!
Ndio kwanza ujenzi umeanza, Mnaanza mara ooh huoni nguzo Mara mbona wanatanua pembeni kwani we ulitaka wafanyaje?
Wewe ni engineer?
Subiri ujenzi ukamilike ndio uje kuuliza
Mbona unatujumuisha wote mkuu?

Tatizo ni la mleta mada na si la watu wote.

Kajibiwa vizuri hususani na Saint Ivuga, hivyo ndivyo nilikuwa nataka nimjibu ila nikawa napitia majibu ya wadau ili nione kama kajibiwa ipasavyo.
 
Awali ya yote wakubwa shikamooni, wadogo hamjambo?

#Naombamoderatorsmsifuteposthiinikwamanufaayawote.

Awali ya yote naipongeza serikali kwa ujenzi huu wa flyover ya ubungo mataa...

Kwa waliopita pale wataungana na mimi kuwa barabara imetanuliwa pembeni mwa barabara kuu. Lakini sioni wachina wakitengeneza nguzo za kushikia barabara zitakazopita juu.Je kuna uwezekano kuwa flyover haitajengwa ila barabara tu ndiyo itatanuliwa?

Maengineer na mwenye uelewa wa hili naomba uje utueleweshe katika hili.

NAOMBA MODERATORS MSIFUTE UZI HUU KWA MANUFAA YA WOTE!!

Na bampami
ahsanteni.

Una elimu gani?
Labda tuanzie bapo, pengine utasaidika,
 
Hata pale TAZARA walisema hivi hivi, leo hii magari yanapita juu. Daraja la Kigamboni walisema hivi hivi. Kuwa na subira, acha papara.
 
Kuna mahali nimetaja mwifwa?
Mimi ni Mtanzania, uliposema ''Watanzania" ulimaanisha nini?

Kwenye huo wingi na mimi nimo.

Hata kama ungesema watu wa Dar, bado ungekuwa umenigusa na mimi, maana nipo Dar.
 
Huna hoja
Pita hivi[emoji117] [emoji117] [emoji117] [emoji117]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom