sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,171
Habari za Jumapili ndugu zangu wa JF, kwa yeyote ambaye ni fundi wa kutengeneza madirisha ya vioo na aluminium, yale ya ku slide.
Napenda kufahamu ni vifaa gani vinavyohitajika uwe navyo ili uweze kutengeneza dirisha lililokamilika hadi kifaa unachotakiwa uwe nacho kwenda kulipachika kwenye jengo.
Pia kama unafahamu, material gani zinahitajika katika kutengeneza dirisha?
Yaani aluminium bar au nini sijui, ule wavu wake, kama kuna rollers, kioo chenyewe nk.
Nauliza hivi, kwa vile nina ujenzi wangu unaendelea, mafundi wanataka hela nyingi sana kila dirisha, nataka ikiwezekana ninunue vifaa vyote na material nitengeneze mwenyewe labda nitapata nafuu fulani.
Nashukuru kwa kunifuatilia kusoma kauzi haka ka ujenzi japo jukwaa humu JF hakuna la ujenzi. Nitashukuru kama ukinipa mchanganuo mzuri.
Kwa kuwa madirisha ya nyumba yangu yapo ina madirisha 7 ya futi 5×5, na matatu ya futi 4×5 na vidogo viwili vya chooni vyenye ukubwa wa sentimeta 70×45.
Pia milango miwili ya bafuni yote ya aluminiam.
Sasa kila dirisha fundi anataka isipungue 200,000/=na milango ya bafuni kila mmoja ni 250,000/=
Nimefikiri je, nikinunua mashine na material je siwezi kubakisha chenji iwapo nitamchukua fundi nikamlipa per day?
Ni hayo tu ndugu zangu.