Hii ndio nyumba inayodaiwa alifichwa mfanyabiashara Mohammed Dewji 'Mo' baada ya kutekwa katika hoteli ya Colosseum Oktoba 11 na kuachiwa Oktoba 20

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Hii ndio nyumba inayodaiwa alifichwa mfanyabiashara Mohammed Dewji 'Mo' baada ya kutekwa katika hoteli ya Colosseum Oktoba 11 na kuachiwa Oktoba 20.
Nyumba hiyo ipo mtaa wa Mwansasu, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Powered by #MagomeniIceCreamCentre
FB_IMG_1541934986032.jpg
FB_IMG_1541934988257.jpg
 
Movie la kisandawe, nawakumbusha makamanda kitendo cha kupata dereva tax na Mwenyeji wao, mngewafahamu majina na sura zao kupitia CCTV na registration hotel, pia finger print border, hivyo mkuu ungeripoti taarifa mliyowasilisha interpol na majina na sura zao!
Pia clip CCTV, silver sand na colecium hotel. Hii ya nyumba na godoro taarifa shallow kwa level yenu wakuu.
 
Back
Top Bottom