The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Mzuqa,
MO naye ni mfanya biashara wa kununua Korosho?
Halafu nimejifunza kitu kipya hii makitu korosho ni lulu kwasababu serikali ilikuwa inalamba billion 600 kupitia mapato ikumbukwe iyo billion 600 inaweza kujenga na kuendesha miradi miwili ya mwendo kasi isipomegwa.
Nimeamini MO ni Sinbad wa modern day.
Hii nchi kuna utajiri mwingi shambani hata kuliko madini ni political will tu.