kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Hawa jamaa ni wakali wa kuunga mkono kila sakata na hawaonyeshi sura za aibu na huvaa uhusika wa moja kwa moja bila aibu wala soni na natumaini ni katika zile ahadi zao za nchi haitotawalika.
Walianza kuunga mkono kupotea na kupanda kwa sukari wao walikuwa upande wa wafanyabiashara wala hawakuwa na huruma kwa walaji.
Wakaungana tena na wafanyabiashara kutengeneza show ya sakata la mafuta wao wakiwa ndio waongozaji wakuu na ndio watetezi wa wafanyabiashara bila kuwafikiria watumiaji
Wakaja na sakata la mbaazi hili show yake inaonyesha mtiririko mzima haukupangwa vyema haikupata promo kubwa na wao pia baadhi yao hawakuipenda.
Sasa big show ni korosho mpaka sasa msimamo wao wanawatetetea wafanyabiashara na kutaka wakulima wakandamizwe kwa zao lao linunuliwe kwa bei ya wizi na wafanyabiashara wapate faida kubwa.
Tunaona wanavyokebehi hatua ya wakulima kusaidiwa kwa kununuliwa kwa mazao yao na kuendelea kuwashawishi wafanyabiashara kimya kimya.
Wanafikiria hiyo ndio itakuwa ticket ya kuingilia magogoni 2020!