ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,319
- 2,504
Habari yako mkuu,naimani wikend imekwenda vena na wengine najua sahivi ndo kwaaanza uko viwanja unakula ulabuz na wengine mko mnajiandaa kufanya mambo ya wakubwa haha yote heri.
Sasa wikend yangu nimeitumia home kwangu tu huku mitaa ya uswazi jijini dar...
Sasa hapa mtaa wapili kuna shuhuli au sherehe ya harusi kuna mwali anaolewa,kwahiyo chereko ni noma...sasa kuna hawa ma MC wa uswazi aisee wanafurahisha,yani waalikwa mnachambwaaa wee mpaka akili inawakaa sawa utaskia MC anasema "ukitaka kupiga picha usimsogelee bibi harusi na kikwapa chako kinavyotoa harufu picha itatokabaya" hahaa imefika muda wa zawadi sasa "Toeni zawadi nyie vijuso wenye roho za husda msiomtakia jema bibi harusi mlidhani hata olewa?sasa kashawekwa ndani nyie endeleeni kuvaa vijora tu vya elfu 5 kkoo"
Kiukweli nimekaa ndani huku nacheka sana mana sasa zile ni kashfa kwa waalikwa.
Wale wa uswazi mlozoea sherehe kama hizi hongereni jamani.
-ANKO JEI