Kwanini Wizara ya sanaa kupitia kamati ya Miss Tanzania wasitengue ushindi wa Wema Sepetu 2006?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
MISS-2006.jpg
Shikamooni wakubwa zangu wote. Mimi mdogo wenu nipo mzima wa afya kabisa.

Kama vyuo vikuu vinaweza kutengua Academic Awards Kama PhD, kwanini Serikali kupitia Wizara ya sanaa na kamati ya Miss Tanzania wasitengue ushindi wa Wema Sepetu 2006?

Kuendelea kumtambua Wema kama mshindi wa taji hilo mwaka 2006 itaendelea kuchafua taswira ya mashindano hayo ya kimataifa na baadhi ya watu kuamini ya kuwa tasnia ya ulimbwende ni ya wadada wenye tabia chafu na wasiojiheshimu kama Wema.

Huu ni ushauri wangu tu na nipo tayari kukosolewa. I STAND TO BE CORRECTED.

Nipo ninaandaa proposal kamili ya kurasa 3 ya kupeleka kwa Wizara ya sanaa na BASATA. I'll be very serious with this.
IMG_20181104_094622_784.jpg
 
Laana ya Mange Kimambi kwa Wema Sepetu wallahi inamtafuna vibaya, piga magoti wema kwa dadako umtake radhi maisha yaendelee....
View attachment 920796Shikamooni wakubwa zangu wote. Mimi mdogo wenu nipo mzima wa afya kabisa.

Kama vyuo vikuu vinaweza kutengua Academic Awards Kama PhD, kwanini Serikali kupitia Wizara ya sanaa na kamati ya Miss Tanzania wasitengue ushindi wa Wema Sepetu 2006?

Kuendelea kumtambua Wema kama mshindi wa taji hilo mwaka 2006 itaendelea kuchafua taswira ya mashindano hayo ya kimataifa na baadhi ya watu kuamini ya kuwa tasnia ya ulimbwende ni ya wadada wenye tabia chafu na wasiojiheshimu kama Wema.

Huu ni ushauri wangu tu na nipo tayari kukosolewa. I STAND TO BE CORRECTED.

Nipo ninaandaa proposal kamili ya kurasa 120 ya kupeleka kwa Wizara ya sanaa na BASATA. I'll be very serious with this.
View attachment 920803
Also read>>> Espionage: Majasusi wa Mossad alivyoiba mkojo wa rais Hafez kwa kutumia CHOO CHA BANDIA - JamiiForums
 
kumvua u-miss tuu haitoshi labla tuongezee na kumchapa viboko akiwa uchi kila siku asubuhi.
 
Back
Top Bottom