Maswali yapi nitambana huyu anaenituhumu mahakamani

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
460
Reaction score
360
Kuna jamaa kanisingizia eti nimemuibia na kudai kuwa usiku aliniona kwa mbali nkikimbia na mali yake.

Pia mtu huyu katoa maelezo yanayotafautiana zaidi ya mara 3.

Akidai alishuhudia mali yake ikiibiwa kupitia dirishani usiku wa saa saba ikichukuliwa simu kwanza na baadae computer, na akaja kustuka asubuhi saa 1:30 na kutoa taarifa kwa majirani kuwa kaibiwa na kuntaja mimi eti nlikuwa miongoni.

Nilipigwa search mda huohuo hakunikuta na mali yake yoyote wala kielelezo,
Mimi naishi na mdogo wangu hivyo ni shahidi wa kutosha.

Mwanzo alitaka nimlipe hata nusu ya gharama za mali yake ili kesi iishie polisi lakini kwakuwa mimi sikufanya hivyo nikakataa na kutaka twende mahakamani.
Kesi yetu ipo mahakama ya mwanzo na tunasubiri kusikilizwa.

Je ni maswali gani ntamuuliza huyu anaenituhumu ili nimnyooshe maana kanidhalilisha sana.
NAWASILISHA.
 
*Maswali:-

Muulize hivi unawezaje kuizibitishia mahakama kuwa Mimi ndiye niliyekuibia Vifaa vyako ?

Muulize kama ulioniona kwa mbali...kama unavyodai kwwnye maelezo yako....je ? ujui utakuwa unalengo la kuidanganya mahakama ..kwa kuwa nivigumu kumtambua mtu usiku tena hasa akiwa kwa mbali.

Muulize ulipojuwa umeibiwa ..nikwanini ulishndwa kupiga kelele mda uwo ili kuomba msaada kwa majirani wako..ili upate msaada.

Muulize je ...uliposachi ndani kwangu kuna ki2 chako hata kimoja ulichokikuta humo ndani.

hakikisha unamuuliza maswali heavy ...mpaka akose pumzi....ili akitoka hapo Asiludie kubambikizia watu kesi.
 
Nashukuru kwa maswali yako
 
wakati wanakuserch ilikuepo search walant... je kama ilikuepo...mwenyekit wa mtaa wako aliisain ...na je wewe uliisani.
Hapana mimi sikuwepo walifanya kienyeji tu na mhusika akuwepo ila majiran ndo waliamua kufanya hivyo ili kujiridhisha maana hata wao walikuwa hawaamini na ndipo waligundua jamaa ni muongo ndo maana tukaenda polisi.
 
Sasa hapo amna kesi ..tena ...maana nilikuwa nahofia hilo tu.

Swali la kwanza muulize nani alikupa search warrant.

na muulize ulipewa parmit nani kusachi kweny Nyumba yangu bila kuwa na search warrant.?

alafu muulize ujui nikosa kisheria kupekuwa kweny nyumba ya mtu bila ya mweny nyumba kuwepo .

Muulize ..kuwa lengo lako kuu nikutaka kuidanganya mahakama ..maana yawezekana wewe ukawa mwizi au tapeli...maana kama wewe sio tapeli au mwizi ...uwezi kupekuwa nyumba ya mtu bila kuwa na search warrant na Mimi bila kuwepo ...na bila Mwenyekiti wangu wa mtaa kuepo.

ukimaliza kumuuliza ivyo. ...uende utulie kesi ishaisha ..hapo ujipange kumlipisha fidia .
 
Nashukuru mkuu ila yeye hakuhusika kwenye upekuzi
 
Hata kama akuusika unabid umchomekee ilo swali ..we muulize baada yakujuwa umeibiwa vifaa vyako ..Je ulitoa ulifanya uchunguzi ...ikiwemo kunipekua kwangu...sasa hapo akisha baa ..anaweza kusema ndio .. akishasema ndio ..ndo unamwambia search warrant uliitoa wapi?

Yaani kesi ni ujanja ujanja ...siunaona majambazi wanaiba...alafu wakienda mahakamani wanawaachia.
 
Kwa jinsi ulivoeleza hapa kuna maswali tecnical.
1. Unasema uliibiwa usiku wakati umelala?
Atasema ndio.
2. Ni muda gani uligundua kama umeibiwa? ( ktk maelezo alisema aliposhtuka asubui ndo kakuta kama kaibiwa)
Hata akisema aligundua usiku uleule.
3. Ulijuaje kama umeibiwa? (Asiposema nilimuona mwizi wakati anaiba) kesi imeisha! Mh.hakim nimemaliza, unakaa.

Kwa maswali haya ya kiufundi ni lazima atajichanganya kujibu. Na yeye ndo mwenye wajibu wa kuithibishia mahakama bila kuacha shaka yeyote kama ni kweli wewe ulitenda kosa"
mb: tafsiri ya usiku kimahakama ni giza na watu huwa hawatambuani gizani.
ACHA NYATUNYATU NOMA SANA!
 
Kwa maswali haya kweli hachomoi asante mkuu
 
Atoe ushahidi wa uhusika wako.
 
Hata kama akuusika unabid umchomekee ilo swali ..we muulize baada yakujuwa umeibiwa vifaa vyako ..Je ulitoa ulifanya uchunguzi ...ikiwemo kunipekua kwangu...sasa hapo akisha baa ..anaweza kusema ndio .. akishasema ndio ..ndo unamwambia search warrant uliitoa wapi?

Yaani kesi ni ujanja ujanja ...siunaona majambazi wanaiba...alafu wakienda mahakamani wanawaachia.
Mbona umeshapa wakili Mwenye kusingiziwa.
 
Ila inaonekana una tabia yenye kutia shaka. Kwanini usingiziwe wewe na sio mwingine?
 
Back
Top Bottom