gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 685
- 967
Kwenye korosho kulikuwa na wapiga hela zile za service levy ndio hao wana makampuni ya kununua korosho wakawa wanazitumia hizo hizo kununulia korosho kwa wakulima. Kwanini haya makampuni yashindwe kununua korosho mwaka huu kama mwaka jana wakati kazi ya hiyo hela ya service levy ilikuwa kwaajili ya kununulia pembejeo kama surpha na sio ya makampuni kununulia korosho?. Service levy inaingiliana VP na uwezo wa makampuni kununua korosho?. Haiwezekani hela ya pembejeo ndio iliyochukuliwa na serikali harafu makampuni yashindwe kununua hata korosho iliyovunwa tayari that means walikuwa wakipiga hela za pembejeo ndio wkawa wanazitumia kununua korosho tena. JPM kaza hapohapo umeshakata mrija wa mafisadi hapo.