Hivi hadi apotee nani ndio mtuhumiwa/mtekaji/asiyejulikana apatikane/akamatwe ndani ya masaa 24 au 48?

Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
46,924
122,195
Tuna jeshi letu imara lenye intelijensia makini, limeweza kudumisha amani(kama sio utulivu) katika nchi yetu kwa muda mrefu hadi sasa.

Lakini intelijensia hii linapofika suala la wale wanaoitwa/waliopachikwa jina la Wasiojulikana, huwa inalala usingizi wa pono.

Zitapita masaa 24, 48, wiki, mwezi hatimaye mwaka bila kupatikana wasiojulikana. Ni kweli jeshi letu wako serious??

Jee hadi apotee nani ndio wasiojulikana wapatikane/wakamatwe kwa muda muafaka ndani ya saa 24 au 48?

Kwa mtazamo wangu nahisi Baba mwenye nyumba(japo sidhani maana ana ulinzi haijawahi kutokea ukilinganisha na Wababa waliotangulia) akipotea, ndani ya masaa 2 wasiojulikana watakuwa washanyongwa kabisa.
 
Honestly namuonea huruma sana Mambosasa anavyotumika kama dodoki vile kwenye hili suala..
Hata anavyoongea unaona kabisa sio utashi wake kabisa zaidi ya kutumika maskini.
 
Ingekuwa wanasaka watuhumiwa kutoka upinzani tungewaona na juhudi zao na kwa muda mfupi mhusika anatiwa nguvuni, ila kwa sasa wanapolinda hadhi na maslahi ya bwana wao lazima wafanye kina aina ya kituko kutuhadaa
 
Back
Top Bottom