Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Kuna kundi la vijana katika Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho ambao huwazuia watu wanaoingia kwa magari au pikipiki binafsi kuwapeleka abiria wanaosafiri. Vijana hao, ambao hawana utambulisho...
1 Reactions
8 Replies
110 Views
Watoa huduma za usafiri wa daladala katika eneo la Mnadani jijini Dodoma leo Septemba 16, 2026, wamegoma kutoa huduma, wakilalamikia umbali wa stendi iliyotengwa kwa ajili yao kutoka barabarani...
2 Reactions
1 Replies
83 Views
Hlw Mtaani kwangu fame ilikuwa kubwa sana na sikuwa mtu wa totozi nilikuwa na bebe yangu Moja tu najipoza nayo na haikuwa ya hapo mtaani , videmu vya mtaani vilikuwa vinaniona kama naringa sababu...
7 Reactions
35 Replies
875 Views
Naogopa mimi. Inawezekana watu wanashindana na Mungu pasipo kujua Risasi 16 na hakufa duh ๐Ÿ˜ข ๐Ÿ˜ญ
5 Reactions
17 Replies
185 Views
Sijui kama alipitia shule ya uongozi au kufundishwa maana ya uongozi kama Rais Hakuna kitu kigumu kuwa raisi maana wewe ndio mungu wa pili wa wananchi wako ,unaweza kufanya lolote na ukaitwa jina...
5 Reactions
1 Replies
86 Views
Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist ๐‘บ๐‘ฐ๐‘ต๐‘จ ๐‘ฒ๐‘จ๐‘ต๐‘ฐ๐‘บ๐‘จ ๐‘ฏ๐‘ผ๐‘ซ๐‘ผ๐‘ด๐‘จ ๐’€๐‘จ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ผ ๐‘ต๐‘ฐ ๐‘ถ๐‘ต๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฌ๐Ÿ‘‰๐Ÿฟ ๐‘ต๐‘จ๐‘บ๐‘ฏ๐‘จ๐‘น๐‘ฌ ๐‘ต๐‘ฌ๐‘ต๐‘ถ ๐‘ณ๐‘จ ๐‘ด๐‘ผ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ผ ๐‘ต๐‘จ ๐‘พ๐‘จ๐‘ป๐‘ผ ๐‘ถ๐‘ต๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ต๐‘ฌ ๐‘ณ๐‘ฐ๐‘พ๐‘ฌ๐’๐‘ฌ ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘พ๐‘จ๐‘ท๐‘จ ๐‘ต๐‘ฎ๐‘ผ๐‘ฝ๐‘ผ ๐’€๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ฌ๐‘ต๐‘ซ๐‘ฌ๐‘ณ๐‘ฌ๐‘จ ๐‘ฒ๐‘ผ๐‘ท๐‘จ๐‘ด๐‘ฉ๐‘จ๐‘ต๐‘จ ๐‘ฒ๐‘พ๐‘ฌ๐‘ต๐’€๐‘ฌ...
7 Reactions
47 Replies
286 Views
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya mawingu na ukungu unaoambatana na manyunyu katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Njombe.Imesema hali hiyo imepunguza uono na...
2 Reactions
3 Replies
80 Views
TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti. Kwa sasa, hakuna taarifa zinapotokea hitilafu za huduma, huduma zinaporejea, au kunapokuwa na matengenezo...
0 Reactions
2 Replies
84 Views
TTCL ina tatizo kubwa la uongozi na maono. Inawezekanaje shirika lenye wataalamu, watu wenye elimu na rasilimali liendelee kufanya maamuzi yanayoonekana kama hayana mwelekeo wa ushindani? Tatizo...
1 Reactions
10 Replies
139 Views
Elon Musk ndiye mwanadamu kwa kwanza tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu kuwa trilionaire! Tunawajua mamilionare wengi tu hata hapa nchini wapo wengi tu hata JF wapo. Pia tunawajua mabilionaire kadhaa...
4 Reactions
37 Replies
565 Views
Taasisi nyingi za umma ukienda kutafuta huduma ni kama vile umeenda kuwaomba hela, uwezi kwenda ukiwa na muda wako lazima uteseke tu na usikamilishe, watanzania nyie ni watu wa hovyo kweli...
8 Reactions
27 Replies
237 Views
Wanafunzi wa Yesu waliambiwa "Enendeni ulimwenguni mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi..." Wafuasi wa kweli wa Yesu hawajahitimu hadi Yesu atakaporudi ndipo tunaambiwa atawapa taji. Kuna hatari ya...
6 Reactions
30 Replies
388 Views
Pesa inafuata mifumo na sheria za kiuchumi kwa sababu ni chombo kilichoundwa na binadamu ili kuratibu thamani, uzalishaji, na ubadilishanaji wa bidhaa na huduma. Tofauti na imani au maombi, ambayo...
6 Reactions
7 Replies
103 Views
Kwenye tasnia ya betting malalamiko hayaishi pengine ni kutokuwa na uelewa wa wahusika na wadau leo naona niorodheshe mambo ambayo yanaweza kusababisha usilipwe mkeka hata kama umeshinda na...
6 Reactions
44 Replies
645 Views
Nimeamua kuandika hii mada kama nilivyoahidi baada ya kusoma hapa JF kuwa Lulu binti aliyepitia mitihani mingi katika maisha yake ya usichana anakaribia kuolewa! Nikasema inawezekana miaka ya...
146 Reactions
265 Replies
47K Views
Muda unavyozidi kwenda sio tu tabia za watu zinabadirika ila pia hata maumbo ya miili yao Miaka ya 2000 wadada wenye manyonyo makubwa (tanganiani) walikuwa wengi mno, ila siku nakutana na de gana...
3 Reactions
6 Replies
164 Views
Hongereni sana TANESCO kwa uamuzi wenu wa kutekeleza ujenzi wa kituo hiki kwa kutumia wataalamu wa ndani baada ya changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa mkataba na mkandarasi wa awali...
0 Reactions
1 Replies
211 Views
November 15 mwaka huu nafunga miaka 39. Kwa mazingira niliyozaliwa, kukua na sasa nilipo nathibitisha pasi na shaka kuwa matatizo yanayowapata watu 98% ni vifungo vya kiroho ambavyo watu hufungwa...
0 Reactions
3 Replies
71 Views
Anonymous
Napatikana Wilaya ya Ruangwa mkoa wa Lindi ,nilifunga ndoa mwezi wa pili mwaka huu, hapa hapa wilayani, na cheti cha ndoa tulipata hapa hapa, cha kushangaxa ni kwamba ukitaka kujisajili na mifumo...
1 Reactions
3 Replies
82 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ