TANESCO: Wataalamu wa Ndani Wajenga Kituo cha Imalilo

TANESCO: Wataalamu wa Ndani Wajenga Kituo cha Imalilo

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
926
Reaction score
794
Hongereni sana TANESCO kwa uamuzi wenu wa kutekeleza ujenzi wa kituo hiki kwa kutumia wataalamu wa ndani baada ya changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa mkataba na mkandarasi wa awali lakini pia niwapongeze na kazi mnayofanya. Ni nzuri. Ina standard na ubora-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

📍Bariadi Mjini-Simiyu
🗓️Septemba 15, 2026

————————

Ametoa pongezi hizo baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Imalilo na kupokea taarifa ya utekelezaji wa mradi huo, na kuongeza kuwa hatua hiyo imeonesha uwezo wa wataalamu wa Kitanzania katika kutekeleza miradi mikubwa kwa viwango vinavyostahili.
 
Habari, ndugu mdau,

Tunashukuru sana kwa ujumbe wako wa pongezi na kwa kuendelea kutuunga mkono.

Tunaendelea na juhudi za dhati za kuboresha huduma zetu ili kuhakikisha tunakidhi mahitaji na matarajio ya wateja wetu kote nchini.

Asante sana. ^PK
 
Back
Top Bottom