Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeipata kutoka ITV: Watu 3 akiwemo Mtoto mdogo wanahofiwa kuteketea kwa moto nyumbani kwao usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Nikololo wilayani Bariadi mkoani Simiyu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Namshtaki Dereva wa gari hili kwako Waziri wa Mambo ya ndani,huyu anapaswa kukamatwa na kufutiwa leseni yake mara moja,hapa anajua kama anatenda kosa ila hajali chochote na yeye kama dereva anajua...
9 Reactions
81 Replies
14K Views
Oooh my God NAPIGIWA SIMU KAMA MWEHU..KUMBE NAPEWA TALIFA MBAYA TENA NATAKIWA KUKAMATWAA Okay.. Yupo msemaji wangu Wa mwisho. Na nimunguuu.. Pekeeee .. Coz only God can judge me Sito ogopa...
3 Reactions
220 Replies
41K Views
Ndugu wa damu na Rostam Azizi aitwaye ASSAD AZIZI ABDULASUL ametajwa kwenye orodha ya drug delear na jina hilo lipo mezani kwa JK mda mrefu na Nzowa anafanyia kazi. Taarifa za awali...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Ukuaji wa teknolojia umekuwa chachu ya ubunifu katika kila nyanja, uchukuzi na usafiri[shaji] zikiwa mojawapo. Sasa hivi huko Marekani, kwa mfano, hususan kwenye miji mikubwa mikubwa na kwenye...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Natafuta soko la ulezi ninagunia za kutosha naomba wanunuzi mniambie mnachukua kwa bei gani nmeutoa sumbawanga
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari zenu wana jf,Kuna pasipoti nimeiokota maeneo ya Msimbazi Centre,ina jina la Jamila Mohamed Salum,Mwenye kumfahamu ama kumjua tuwasiliane Pm
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hili litakuwa fundisho kwa wengineo watakaokuwa wazembe kuruhusu nyumba zao kutumika katika kuficha wahalifu, Ni sawa na ilivyoamriwa gari itakayohusika kubeba wahamiaji haramu au Mali asili nchi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Furaha isiyokifani kutoka kwa mrembo atokae singida Charlotte Makalla aliyefanikiwa kushinda taji la urembo la MISS AFRICA AMERICA kwa kushikilia nafasi ya tatu. Kiukweli ni ushindi mkubwa mno...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Wale mnaofahamu nchi zingine zinawafuata watalii au wanajileta wenyewe?! Kati ya ndege zetu zilizonunuliwa ni ipi husafirisha watalii na inawapeleka wapi?! Serengeti iko Mkoa wa Mara, ni ndege...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Uwa najiuliza sana kada zingine km waasibu,polisi,mwanajeshi wakiwa nyumbani nje ya kazi wanatambulika kwa majina yao... Ila kwa walimu na madaktari nyumbani na ofisini wanaitwa hivo hivo ni kwann...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Maisha kweli kitendawili. Sometimes unaweza ukapanda mahindi zikaota ndago...Kuna wana CCM walitamani kuwa waziri wa fedha lakini Dk Mpango 'asiye mwana CCM' kiviiilee akaipata post hiyo kiulaini...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Siku za Jumatatu Huwa napenda sana kuwahi kazini kwasababu ni siku ambayo kama ukichelewa kidogo foleni inakuwa kero kuliko siku nyingine za kawaida. Kuna Eneo Moja mitaa ya Masaki kuna Njia...
2 Reactions
61 Replies
16K Views
Mfanyabiashara Maarufu na mmiliki kampuni tatu za Hans Paul Mkoani Arusha, Kamaljit Hans Paul (58) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani hapa na kesho anatarajiwa kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma...
0 Reactions
41 Replies
13K Views
Bandugu, naombeni msaada wenu, hivi hapa Dar kuna mwalimu yeyote anayetoa mafunzo ya strings? i.e violin, viola au cello. Nahitaji sana kujifunza, kama kuna mtu anamjua tafadhali sana naomba msaada.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MBIVU na mbichi kuhusu ukweli wa mali za viongozi wa umma wapatao 946, zinatarajiwa kujulikana wakati wowote kuanzia sasa baada ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kukamilisha ripoti...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Second priest defies Church of England to marry his same sex partner Luxembourg's prime minister first EU leader to marry same-sex partner Serbia gets its first female – and gay – prime minister...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Hii ndio nyumba inayodaiwa alifichwa mfanyabiashara Mohammed Dewji 'Mo' baada ya kutekwa katika hoteli ya Colosseum Oktoba 11 na kuachiwa Oktoba 20. Nyumba hiyo ipo mtaa wa Mwansasu, Mwezi Beach...
6 Reactions
216 Replies
51K Views
Ndugu zangu naomba niende kwenye Mada huska Kiukweli kuna jambo linaniumiza Sana hasa swala la michango ya ndugu wanao owana Kimsingi hua wanagawa card ili tuwachangie fedha ili wafanikishe...
18 Reactions
117 Replies
11K Views
habari wadau.. najua wengi tunamkumbuka huyu jamaa alivypondwa humu kwenye uzi wa kukataa kuajiriwa usa kwa mshahara mnono kwenye huu uzi kwenye link B.Fernandes: Mtanzania aliyekataa mshahara wa...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…