Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

CCM (M/KITI CHAMA,NA M/JUMUIYA YA WAZAZI.), angalie shule yenu ya Minja tech na secondary itakufa ,mliyempa shule hii sidhan kama ni mtu sahihi,jaribun kujiuliza kabla hamja mpa hiyo shule...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA), imesema kuwa huduma nyingi kwa sasa zinategemea vitambulisho vya taifa na hayo yanafanyika ili kuongeza msukumo wa watu kufatilia vitambulisho hivyo...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
MAKUSANYO ya Mamlaka ya Majisa na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) yameongezeka kutoka Sh bilioni 2.9 kwa mwezi kwa mwaka 2014/2015 hadi ku kia Sh bilioni 10.5 kwa mwezi mwaka huu. Aidha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MANISPAA ya Ilala, mkoa wa Dar es Salaam inatarajia kuanza rasmi ujenzi wa hospitali ya kisasa ya wilaya itakayogharimu Sh billioni 1.5 mwezi ujao, itayojengwa Kata ya Kivule mkoa wa Dar es...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
*HEKO BENKI YA CRDB KWA UBUNIFU HUU* *Kukua kwa teknolojia kumeleta mabadiliko mengi chanya yanayopelelea maendeleo katika jamii zetu. Nakumbuka nikiwa mdogo mama alipokuwa akitaka kwenda benki...
6 Reactions
36 Replies
8K Views
Siku za nyuma kidogo katika mkoa flani alikuwepo mzee mmoja kwa jina la Mashaka aliyekuwa na Mke na mtoto mmoja wa kike mzuri sana kwa jina la Waitinesi. Huyu alikuwa ndiye mtoto pekee wa hii...
9 Reactions
20 Replies
4K Views
UTAFITI wa udhibiti wa panya kwa kutumia mkojo wa paka nyumbani na mashambani ili kuwazuia wasiharibu vifaa mbalimbali na mazao unakaribia ku kia mwisho baada ya wata ti kupata matokeo mazuri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mzuqa Ng'olo Kante mchezaji hatari wa Chelsea na Ufaransa ambaye inaaminika ndie the best defensive mid fielder in the world ni Muhasibu qualified accountant. Alipita mtihani wake wa form siksi...
18 Reactions
27 Replies
7K Views
Wanajamii wenzangu kwa anaehitaji kontena futi 20 na futi 40 zinapatikana na zipo za kutosha kabisaaa kwa anaehitaji ani email kwa anuani hii ya nnala@a1csgroup.co.tz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je kwa Tanzania mtu akisoma Biotechnology and Laboratory Science anaweza kufanya kazi seemu/sector zipi?Ahsanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa na baadhi ya watu kwamba sijui wazungu,wahindi sijui waarabu mimi nasema hapana sisi waafrica ni wabaguzi kuliko hawa wenzetuu...... Na ubaguzi wa mwafrica...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Mfano, rafiki yangu anapanga kunikopesha sh 10000. Ni prestige Mimi kujisifu kwa wanangu kwamba rafiki yangu au jirani yangu ameahidi kunikopesha sh 10000.wakati huohuo nawaaminisha wanangu kwamba...
0 Reactions
1 Replies
573 Views
Kila nikipita hiyo njia tukikaribia tu utasikia konda anasema eneo hili hairuhusiwi kupiga picha ukionekana tu basi sisi tutakuacha hapo-na kweli kuna vibao vimekataza huwa najiuliza sababu za...
6 Reactions
122 Replies
31K Views
Nimeoma mjinga mmoja ana muataack dada wa watu kwaujasiri wake wa kuwatetea watoto wa kike kurudi shule wapatamo ujauzito ,maria jamiii unajua imesikia ma dunia unajua pamoja tutashinda piga kazi...
3 Reactions
5 Replies
908 Views
Mwaka 1987 katika.kijiji kimoja kilichopo katika wilaya moja iliyopo katika MKOA wa Singida yalitokea mauaji ya kutisha dhidi ya kikongwe mmoja kijijini hapo ambayo yalitekelezwa na bwana mmoja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
IDARA ya Uhamiaji Mkoani Kilimanjaro,imeanza uchunguzi kuhusiana na madai kwamba Wakili wa Serikali ofisi ya Wakili Mfawidhi Mjini Moshi,Omari Kibwana si raia wa Tanzania. Habari kutoka Uhamiaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali inatarajia kukusanya kodi kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa wanaomiliki makampuni nje ya nchi baada ya watalaamu wa kodi kutoka Chuo Cha Kodi nchini (ITA) kufanya utafiti mwaka 2017/18...
6 Reactions
70 Replies
9K Views
Tukisoma historia ya mkoa wa Kilimanjaro tunaona kuna kabila maarufu sana la wachaga ambalo kimsingi lilikua na tawala mbali mbali za kichaga kila chifu na eneo lake. Machifu hao waliitwa mangi...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Imegine kwamba umerudishwa peke yako Miaka 200 nyuma kutoka sasa, lakini ukaachwa na Akili zako hizi hizi ulizonazo yaani unazomiliki kwa sasa bila kuongeza wala kupungua chochote, Utaweza...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Iko Kama ifuatavyo WB: Tunafikiria kuzuia Mkopo kwa Tz CCM: Wapinzani hao, hawaitakii mema nchi WB: Tunazuia mkopo kwa Tanzania CCM: Poa tu, hatuna Shida na pesa za mashoga, sisi sio mashoga...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…