Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau wa JF. Muda sio mrefu nimeajiri house girl lakini baada ya siku tatu, alirudi kwao. Nimeajiri mwingine lakini vituko haviishi. Ni mvivu, hafui nguo za watoto Na vyombo haoshi...
3 Reactions
91 Replies
10K Views
Haraka haraka, baada ya "Brigedia" huyo kupigwa risasi Rais Magufuli "alishtushwa sana na alipiga mguu hadi Lugalo Hospital kwenda kumjulia hali, na yule mgeshi alionekana kuumizwa na kuugulia kwa...
30 Reactions
89 Replies
11K Views
Mtangazaji wa kipindi cha Njia Panda kinachorushwa na redio Clouds fm ya jijini Dar es salaam amepata nafasi ya kuwa mtangazaji wa muda katika redio Japan (NHK world) katika muda atakaokuwa...
10 Reactions
82 Replies
32K Views
Juzi juzi tumekuwa na mjadala ambao haukuhitimishwa juu ya ubora wa elimu yetu, mjadala huu uliibuka kama kimbunga na ukapotea kama kimbunga bila kutoa majibu ya changamoto zinazotukabili juu ya...
37 Reactions
391 Replies
24K Views
Siku ya Jumapili kule kijijini kwetu ilikuwa ndio siku ya "show off"; hii ndio ilikuwa siku ya kuvaa vizuri. Kabla utaratibu wa kuwafuata waumini walipokaa ili watoe sadaka, wale watanashati wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wito kwa viongozi wetu watukufu , tuzidi kukumbushana tu muwe na human face ili tuilinde na kufurahia nchi yetu vizuri. hivi kuna mstaafu atamaliza pension yake ndani ya miaka kumi na mbili kweli...
0 Reactions
0 Replies
534 Views
MISAADA: JE NI PICHA YENYE SURA MBILI? Am just curious!!! Ni nani hasa anapaswa kubeba sura ya mpewa msaada. Inajulikana wazi hawa wenzetu hawatupi misaada bure kama wanavyojinasibu, they demand...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za jioni ndugu zangu wa jamiiforum, kuna kitu huwa nakiwaza sana na kwa muda mrefu kidogo bila kupata majibu sahihi, nikaona ngoja niwaulize nyie ndugu zangu labda mnaweza kujua au kutoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imewaonya wasimamizi 'Admin' wa makundi ya Whatsapp yaliyoundwa kwenye simu za mkononi kwa kutosimamia maadili ya wanachama. Makundi hayo ambayo huanzishwa...
1 Reactions
16 Replies
10K Views
Jamani blog hii apa nisaport www. Dragon blog online.wordpress.com
1 Reactions
0 Replies
681 Views
Wananchi/Wakulima wa Korosho wenye hasira kali wamelichomba Moto Shamba la Korosho la Mbunge wa Kigoma Mjini lilioko eneo Mangamba Mkoa wa Mtwara Mjini. Wakulima hao wamechukua hatua hiyo...
13 Reactions
210 Replies
35K Views
CHAMA Kikuu cha Ushiriki Tandahimba na Newala (TANECU) kinakusudia kuanzisha kiwanda chake cha kubangulia korosho i kapo mwakani ili kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli za kuhakikisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mpango wa ujenzi wa jiji la sayansi, teknolojia na ubunifu katika wilaya ya Chunya mkoani Mbeya unatoa fursa nyingine ya kiuchumi kwa watanzania na wakaazi wa mkoa wa Mbeya. Katika wakati ambapo...
0 Reactions
55 Replies
7K Views
Watumishi mpo? Awali mliambiwa uhakiki ukikamilika watumishi mtakula mishahara minono na madaraja hayatakuwa na figisu Figisu. Sasa uhakiki .........weeeeee Wameibuka na APROVER. Kwamba kuna...
8 Reactions
33 Replies
6K Views
Mahakama Kuu kanda ya Tabora leo imemhukumu kwenda Jela miaka Thelathini, Sadick Jafary aliyetiwa hatiani kwa kumbaka binti yake mwenye umri wa miaka kumi na sita na kisha kumsababishia ujauzito...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Haiwezekani na haiingii akilini kabisa Mwandishi wa Habari ' Professional ' na ' Critical ' kabisa ukapoteza muda wako wa thamani kukimbilia katika Press Conferences za Kiongozi wa Wendawazimu...
59 Reactions
105 Replies
13K Views
Wakuu,kuna mk*nd* mmoja kagonga ndinga af kakimbia ila nmemfotoa gar so namba yake nnayo hapa,nafanyaje kumjua huyu mtu
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Na.amiri kilagalila mc.amiri/mr.mtaani Mtoto anayekadiliwa kuwa na Umri wa Miaka miwili Ambaye Hajajulikana Jina Lake Amekutwa Akiwa amefariki na kutupwa korongoni karibu na Msitu Uliopo...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanapopata nafasi ya kusoma sana na kuujua ulimwengu wanaanza dharau juu ya utukufu wa mungu, wanaanza kuwa na imani ndogo juu ya dini, wanaanza kuamini zaidi katika sayansi, wanaanza kufuata...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…