NATAMANI TUGAWANE NILICHOSHINDA TATU MZUKA LEO

badoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
512
Reaction score
249
Wana jf mara zote wahenga hutuambia kizuri kula na mwenzio.
Nimecheza tatu mzuka leo na nimebahatika kushinda fedha nyingi kiasi,natamani niwagawie wanachama we zangu was jf 30 wa mwanzo kiasi kadhaa cha fedha,nawaombeni tupieni namba zenu za simu hapa niwatumie.
 
Sasa ni saa saba kasoro usiku,huu ndio ule muda watu wanaota ndoto za ajabu ajabu kama hii
 
Mkuu ukiona na choo huko usikitumie,manake inaonekana upo kwenye ndoto nyevu wewe.
Sio bure aisee
 
Wana jf mara zote wahenga hutuambia kizuri kula na mwenzio.
Nimecheza tatu mzuka leo na nimebahatika kushinda fedha nyingi kiasi,natamani niwagawie wanachama we zangu was jf 30 wa mwanzo kiasi kadhaa cha fedha,nawaombeni tupieni namba zenu za simu hapa niwatumie.
Badoo hujapata namba yangu kirahisi hivi!
 
tahadhari wakuu, hawa ndo maagent wa jiwe hawazunguka mitandaoni kutafuta raia, usitoe namba kwa mtu msiejuana. mods mtulinde na watu kama hawa.
 
Ahsante Mkuu
 
Uzi waake utafutwa soon.
 
Hàaaa njoo inbox.. Washindi Wa tatu mzuka Juma hili nawajua wote.
 
Back
Top Bottom