IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Kila binadamu ana jambo lake analotamani ambalo anawish afanye ila Mara nyingi vitu tunavyohitaji vinakuwa nje ya uwezo...
Niliwahi kumuliza mjapani mmoja yeye imani yake ya dini ni ipi na anaamini kitu gani?
Alinijibu kitu cha ajabu kwangu,ila nikaheshimu mawazo yake, alisema wao wajapani wanaamini ukifa unazaliwa tena.
Ukizaliwa tena unaweza kuwa kima,kuku,mti au chochote ambacho ni kiumbe hai.
Nikamuliza we mtazamo wako unapenda ukifa uzaliwe tena km nani?
Hapa ndio nilistahajabu ,alisema anapenda azaliwe akiwa Mbwa katika nchi za ulaya au Japan,hataki awe Mbwa wa Tanzania coz wanapigwa mawe sana.,nilicheka sana,.
Simlaumu sana coz mimi mwenyewe natamani sana kuruka km ndege ,uwa napata wivu nikimuona kunguru anaruka natamani ila siwezi..
Naamini hata wewe unatamani kitu Ila huwezi kuwa,,km lowasa anavyotamani kuwa Rais wa Tanzania bt hawezi kuwa.