Nimechoka na kazi ya ualimu!

Nimechoka na kazi ya ualimu!

Hivi FUTURE ni nini na inapatikana wapi enyi walimu kwa kadiri mnavyofundisha wanafunzi wenu? Halafu hicho ndio kipimo bora cha akili, acha kazi upime uwezo wako wa kutafuta hiyo "future" la msingi usimuige mtu. Tambua vipawa na miito yako uvitumie ku-pursue kile unachohisi ndio mafanikio ya kwenye ndoto zako.
 
Komaa kiume usikilize moyo wako bado mapema ukiendelea muda utaenda lakini utakuja kujikuta unafanya jambo ambalo ungelifanya leo miaka kumi ijayo, what a waste of time !
The only thing unapaswa kufikiria ni namna ya kuacha maana ziko version nyingi kutegemea na factor zako mwwnyewe.
Wengine wanaacha ghafula na mtikisiko unakuwa mdogo tu , na wengine wanaacha polepole ; you choose your strategy ila uamuzi mzuri especially kama kuna eneo lingine ambalo unaiona huko moyoni future yako.
 
Wadau,nimechoka na hii kazi nataka niiache mara moja sababu naona hakuna future,kila siku ni matatizo tu hakuna kinachokaa mkao

Naombeni mwongozo mlowahi acha kazi.
Wanaoacha Nazi hawasemibwana acha uongo
 
Back
Top Bottom