wandugu nimetafuta sana bila ya mafanikio nyaraka hizi: kanuni za kudumu kwa utumishi wa umma, 2009 (standing orders for the public service, 2009) na kanuni za utumishi wa umma, 2003 (public...
Heshima zenu wakuu!
Kwanza ninapenda kuweka wazi kwamba, nimewiwa kuandika mada hii kwa lengo la kutafakari kwa pamoja. Sijanuia kumuudhi, kumkwanza mtu wala kuibua hisia chungu kwa yeyote awaye...
Mapato ya serikali katika migodi ya Tanzania Mirerani mkoani Manyara yamepanda kutoka sh.milioni 402 miezi 10 iliyopita hadi kufikia sh.bilion 2.1 baada ya kujengwa ukuta kuzunguka eneo hilo kwa...
Kwa kweli sijawahi kupanda ndege za ATCL katika safari za ndani zaidi ya fast jet.
Juzi nilisafiri na ndege ya ATCL toka mwanza baada ya ndege ya fastjet kuniacha kuja Dar es salaam.
Kwenye seat...
Wakuu kampuni yetu tunahitaji HP tatu mpya kwajili ya mambo ya installations kwenye viwanda hivyo ninaomba kwa wauzaji nitumie quotation za HP na bei zake
mfano
HP Mini laptop
1.Hdd 160gb
Ram...
Ni hivi, nimekuwa nikiangalia Tv kupitia simu yangu.
Huku nikishuhudia ulaji mkubwa kabisa wa MBs kuwahi kutokea.
Sasa nakuja kwenu, mwenye ujuzi wa kuangalia Tv kupitia simu bila kutumia MB...
[emoji257][emoji257]KUNYONYESHA MAZIWA[emoji257][emoji257]
806. Amesema Mtume Muhammad Mustafa s.a.w.w., Man la Yahdharul Faqih, J. 3, Uk. 561:
“Naam malipo ya mwanamke wakati wa mimba yake hadi...
Wakati baadhi ya wafanyabiashara wakibuni mbinu za kuvutia wateja, wauza majeneza katika eneo la Hospitali ya KCMC mjini hapa wamedai biashara hiyo kwa sasa ni ngumu na imevamiwa jambo...
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2018 amemtembelea na kumpa pole Aliyekuwa Waziri mkuu wa awamu ya 3, Mhe. Frederick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang mkoani Manyara...
Nchi ya Afrika Kusini ambayo Kimsingi na hata Kitakwimu tu tumeizidi kwa kuwa na Vivutio vingi vya Utalii kwa mwaka inapokea Watalii 9,600,000 na Watanzania ambao ni Matajiri wa ' Kutukuka ' wa...
Mtanzania mwenzetu anayefahamika kwa Jina la Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani, aliwahi kuishi Dom na kusoma Mzumbe Sec, kwa wanaojua zaidi chanzo na taratibu za mazishi watujuze...
Kwa ninavyowajua Wazungu ukiona tu wanaanza Kukutilia mashaka jua ya kwamba kuna mahala umekosea au unakosea mno na kwamba siku si nyingi wanaweza wakakuacha ili upambane mwenyewe na kwa...
Nimeshangazwa na hatua ya Shirika la Ugavi nchini Tansco kupandisha bei ya umeme haswa maeneo ya vijijini mkoania Kilimanjaro.Mfano leo hii ukinunua umeme wa elfu kumi unapata unit 28 pekee...
ALFRED NOBEL
Utajisikiaje siku utakayo soma taarifa zako mbaya kwenye gazeti ? Nini watu watasema kuhusiana na wewe pindi utakapofariki?
Wakati wewe unafikiria na kuwaza kuwa haiwezani basi...
Leo tarehe 17.11.2018,ni mahafari ya 11ya chuo cha kikatoliki Mwenge yanayofanyika katika viwanja vya kanisa la mtakatifu Thadeo Mwenge.
----------------------------
11: 38am
Kwa sasa maandamano...
Wiki hii nilipata bahati ya kushuhudia risiti za iliyokuwa taasisi ya DECI zenye thamani ya shilingi laki nne toka kwa rafiki yangu mmoja wa hapa Iringa. Risiti hizo zimenikumbusha kwamba serikali...
Mbunge na kiongozi wa zamani wa kundi la wapigani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) amesafirishwa kwenda ICC kukabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi binadamu.
Alfred Yekatom aliwasili kwenye...
Kama kichwa kinavyoeleza,leo Tanzania inaweza kuweka historia mpya katika nyanja ya soka iwapo itafanikiwa kushinda mchezo wake dhidi ya Lesotho.
Kipigo walichokipata hapo jana Cape Verde cha...
Sote tunakubaliana kwamba mwanafunzi wa kike hapaswi kufanya ngono, period. Lakini akifanya ngono, kwa vyovyote vile hapaswi kupata mimba.
Kwahiyo hii ndiyo mantiki ya JPM kuhusu 'SHULE' zote...