The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,320
Kwa kweli sijawahi kupanda ndege za ATCL katika safari za ndani zaidi ya fast jet.
Juzi nilisafiri na ndege ya ATCL toka mwanza baada ya ndege ya fastjet kuniacha kuja Dar es salaam.
Kwenye seat ya pembeni yangu alikua amekaa mzungu, wahudumu walipoanza kugawa viburudisho waliamzia abiria wa mbele kule karbu na rubani.
Mara ya kwanza waligawa vikaisha kati, wakafuata vingine, sisi tukiwa seat karbu na mwisho huku, walipotoka kwenye chumba kuchukua viburudisho, wakamchangamkia yule mzungu na kumuuliza anataka nini, alipowajibu wakamhudumia wakiniacha mimi jirani yake kisha wakaenda kule walikoishia kugawa viburudiaho na kuendelea na ratba yao.
Vikasha kabla hawajatufikia tuliokua kule nyuma, wakafuata vingine na kuendelea na ugawaji kama kawaida, hadi wananifikia jirani yangu mzungu alikua keshamaliza vyake muda mrefu.
Hilo jambo lilinikwaza sana, watanzania tunabuana hadi kwenye vyombo vya usafiri.
Niwaambie tu kua siku nyingine sitapanda ndege zenu. Endeleeni kupapatikia wazungu utafikiri wao wanalipa dhahabu.