Mapato ya serikali katika migodi ya Tanzania Mirerani mkoani Manyara yamepanda kutoka sh.milioni 402 miezi 10 iliyopita hadi kufikia sh.bilion 2.1 baada ya kujengwa ukuta kuzunguka eneo hilo kwa ajiri ya kudhibiti utoroshaji wa madini hayo.
wewe sema hata trillion 300, it is Ok! nani anabisha!Mapato ya serikali katika migodi ya Tanzania Mirerani mkoani Manyara yamepanda kutoka sh.milioni 402 miezi 10 iliyopita hadi kufikia sh.bilion 2.1 baada ya kujengwa ukuta kuzunguka eneo hilo kwa ajiri ya kudhibiti utoroshaji wa madini hayo.
Msemaji wa Ukawa NDG zitto yapi maoni yake Mkuu kwenye hili?wewe sema hata trillion 300, it is Ok! nani anabisha!
-Sanaa na WasaniiMapato ya serikali katika migodi ya Tanzania Mirerani mkoani Manyara yamepanda kutoka sh.milioni 402 miezi 10 iliyopita hadi kufikia sh.bilion 2.1 baada ya kujengwa ukuta kuzunguka eneo hilo kwa ajiri ya kudhibiti utoroshaji wa madini hayo.
Mkuu hii habari wanaufipa hawataipenda! Nawaona wanachungulia na kutoka mkuku kama ambavyo nyumbu wanavyovuka mto Mara.Mapato ya serikali katika migodi ya Tanzania Mirerani mkoani Manyara yamepanda kutoka sh.milioni 402 miezi 10 iliyopita hadi kufikia sh.bilion 2.1 baada ya kujengwa ukuta kuzunguka eneo hilo kwa ajiri ya kudhibiti utoroshaji wa madini hayo.
Wewe kama unao ushahidi, basi upakuekwani si na hizi figure mmepika pia?
Can you prove it wrong, please do it if you have the data.Whats the prove!??
Gharama za ujenzi mbona hatukuambiwaMkuu hii habari wanaufipa hawataipenda! Nawaona wanachungulia na kutoka mkuku kama ambavyo nyumbu wanavyovuka mto Mara.
Bora umesema ukweli mkuu nipo ndani ya ukuta huku ni over sudani.Mkuu hiyo bilion 2 zitokee wapi wakati unaenda mwezi wa pili hakuna mawe ya maana zaidi ya magonga tu.Kijiji njaa tu ndani ya ukuta kama sudani apolo wamechoka