Somo: Tumia kadiri ya kipato chako

Somo: Tumia kadiri ya kipato chako

Ni vizuri kukumbushana ila nadhani hizi kanuni za maisha huanzia ndani mwa mtu.

Huu ushauri kwa wengine....hata hawakuelewi.
 
Halafu huu uzi umejizalisha mapacha kadhaa sijui imekuwaje.

Subiria mapovu yakutosha,wengine leo Jpili wana subiria kukopa pesa kwa ajili ya wiki ijayo huku wakisubiria mshahara.Pesa zote wamemaliza kwenye mambo ya kitoto ya kuiga wenye nazo!
 
Ni sababu ya mtandao wa kifaa chako.

Ulijaribu kupost ikakataa ukarudia kujaribu mara ya pili....kumbe ilishakubali.

Omba wakufutie.
 
Mapovu nitafulia mapazia wacha wayalete tu ila moyoni wataelewa.
Subiria mapovu yakutosha,wengine leo Jpili wana subiria kukopa pesa kwa ajili ya wiki ijayo huku wakisubiria mshahara.Pesa zote wamemaliza kwenye mambo ya kitoto ya kuiga wenye nazo!
 
Hapo kwenye 2000 ya mawazo asinge orodhesha Jf ningemsapoti
 
Back
Top Bottom