Broadcasting and Information Policy.

askarikambi

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
246
263
Habari wadau.
Kuna kijana wangu amekesha kwenye mtandao akitafuta "Broadcasting and Information Policy za mwaka 1972, 1993 na 2003" ni mwanafunzi wa Diploma chuo fulani hapa Dar.
Anatakiwa kuzichambua jinsi zilivyoathiri tasnia ya Habari.
Nimemwambia ngoja nitume kwa wadau hapa wanaweza kujua juu ya hii kitu.
Kama kuna mtu anajua link ya kumsaidia kijana azipate hizo policy, tafadhali usaidie.
Nimemwambi achunguli humu
 
Kuwa muwazi boss ni wewe unaezitaka au?
Mimi natafuta hela, sitafuti policy wala sitafutwi na police.
Unajua huwa naringia sana hili jukwaa. Mtu akiwa na shida huwa namwambia kwann usiipeleke jf, pale kuna watu makini na wa ovyo, utapata pumba na mchele, kazi itakuwa ni kuchambua tu kipi ubebe
 
Back
Top Bottom