Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 881
- 303
Habari wakuu..
Mojakwamoja, Naongea nikiwa na uthibitisho kutoka kwa wazee fulani wastaafu wakilalamika kuwa fedha zao mpaka sasa hawajalipwa ni mwaka sasa.
Wanadai yakwamba wamekuwa wakifatilia mafao yao ya uzeeni pasina suluhu yeyote zaidi yakuambiwa mafaili yao yapo benki kuu kwa malipo. Je wakuu ni nini kinachochelewesha?