SUMATRA kazi imewashinda kusimamia usafiri Goba Dar es Salaam

Mchemically

Member
Aug 10, 2015
11
45
Kwa hali ilivyo huko Goba nahisi sumtra kazi imewashinda. Hali ya usafiri inahatarisha Afya na Usalama wa Raia
Haswa kwa majira ya Asubuhi na jion, usafiri ni karaha. Hi imesababishwa na mpangilio mbovu wa Route za Magari. Yaani gari zote zinaanzia mbezi zikiwa zimejaa, abiria wa njiani wanalazimika kubanana kupita kiasi hali inayosababisha mkanyagano, na karaha pale abiria anataka kushuka. Gari zenyewe zinakimbia mwendo kasi wakati zimejaa kupita kiasi.

Hivyo naishauri SUMATRA wafanye yafuatayo:-
1). Watembelee na kufanya utafiti kujionea halihalisi

2). Watengeneze route za magari yatakayoanzia goba centre kwenda mjini
(Hii itasaidia wakazi wa Goba kupata ahueni walao kukalia kiti, kila siku wao kusimamisha milingoti tu).

3). Usalama barabarani uimarishwe hasa kwenye kona

4). Gari kubwa ziongwezwe kwa route ndefu ya kawe Mbezi

NB: TUSISUBIRI AJALI ITOKEEE
Mjumbe hauwawi Nimesema mim Mhenga
 
mlimilwa

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,245
2,000
Mimi nataka wapige malufuku nagari yote yanayotumua horn kali,hasa kwenye mabasi makubwa daladala na magari ya kubebea kokoto na mchanga.

Wanapiga honi kali,hawaangalii wapi wapige hon wapi waache.mtu kama una presha unaweza kudondoka.

HON ZA AINA HIYO NI BORA ZIONDOLEWE WAFUNGE SOFTHORN KWENYE MAGARI YOTE.
 
palangana

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
507
500

Kweli asseh!
 
Joowzey

JF-Expert Member
Nov 13, 2015
12,812
2,000
Mimi nataka wapige malufuku nagari yote yanayotumua horn kali,hasa kwenye mabasi makubwa daladala na magari ya kubebea kokoto na mchanga.

Wanapiga honi kali,hawaangalii wapi wapige hon wapi waache.mtu kama una presha unaweza kudondoka.

HON ZA AINA HIYO NI BORA ZIONDOLEWE WAFUNGE SOFTHORN KWENYE MAGARI YOTE.
We nae una busha tu!
 
marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
13,794
2,000
Kwa hali ilivyo huko Goba nahisi sumtra kazi imewashinda. Hali ya usafiri inahatarisha Afya na Usalama wa Raia
Haswa kwa majira ya Asubuhi na jion, usafiri ni karaha. Hi imesababishwa na mpangilio mbovu wa Route za Magari. Yaani gari zote zinaanzia mbezi zikiwa zimejaa, abiria wa njiani wanalazimika kubanana kupita kiasi hali inayosababisha mkanyagano, na karaha pale abiria anataka kushuka. Gari zenyewe zinakimbia mwendo kasi wakati zimejaa kupita kiasi.

Hivyo naishauri SUMATRA wafanye yafuatayo:-
1). Watembelee na kufanya utafiti kujionea halihalisi

2). Watengeneze route za magari yatakayoanzia goba centre kwenda mjini
(Hii itasaidia wakazi wa Goba kupata ahueni walao kukalia kiti, kila siku wao kusimamisha milingoti tu).

3). Usalama barabarani uimarishwe hasa kwenye kona

4). Gari kubwa ziongwezwe kwa route ndefu ya kawe Mbezi

NB: TUSISUBIRI AJALI ITOKEEE
Mjumbe hauwawi Nimesema mim MhengaKushindwa kazi kwa sumatra kupo katika miji mingi nchini, nashangaa boss wao hajatumbuliwa, imagine unakutana na tatizo linalohusu usafiri, unawapigia simu kwenye ile namba wanayosema ni ya bure, badala ya wao kuja eneo la tukio wanakwambia nenda ofisi ukatoe ushahidi, kuna mwanamke mmoja hapo makao makuu sidhani kama amepewa mafunzo ya huduma kwa wateja.
 
Mchemically

Member
Aug 10, 2015
11
45
Kushindwa kazi kwa sumatra kupo katika miji mingi nchini, nashangaa boss wao hajatumbuliwa, imagine unakutana na tatizo linalohusu usafiri, unawapigia simu kwenye ile namba wanayosema ni ya bure, badala ya wao kuja eneo la tukio wanakwambia nenda ofisi ukatoe ushahidi, kuna mwanamke mmoja hapo makao makuu sidhani kama amepewa mafunzo ya huduma kwa wateja.
Hapo Umenena. Ngoja nikasome kazi na Majukumu ya Sumatra. Labda wanahitaji Semina Elekezi au posho
 
spika

JF-Expert Member
Dec 7, 2014
458
500
Nasikia wameanzisha ruti mpya za Madale Posta na Madale-Gerezani kupitia Goba. Wasichoelewa SUMATRA ni kwamba hizi ruti abiria wengi wanaketi mwanzo hadi mwisho wa safari. Sisi wa njiani hususan goba tunakuwa wa kusimama na kukanyagana.

ANZISHENI RUTI ZINAZOANZIA GOBA TAFADHALI. NA SISI TUNA HAKI YA KUSAFIRI KWA AMANI.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom