Hivi wadada mnapoitana "shoga" huwa mnamaanisha nini?

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
5,500
Reaction score
8,067
Habari Wana Jamvi. Nimekuwa Nikisikia Wadada Hasa wa Mjini Wakiitana "Shoga" Mara Kadhaa Tu Tena Hadharani. Na Kutokana Tafsiri Mbalimbali Za Neno Hilo Zikiegemea Kwenye Vitendo Flani Visivyofaa Katika Jamii, Lakini Limekuwa Likiendelea Kutumika Na Dada Zetu.

Swali Langu Ni Je! Neno Hilo Lina Maana Gani Hasa Pale Wasichana Wanapolitumia Kuitana? Na Je Neno Hilo Lina Maana Zaidi Ya Moja?
 
Dogo bangi si nzuri hilo neno lipo miaka mingi sana kabla hata ya vijana wengi kugeuzwa
 
Ni type ya watu kama kina delicious
Habari Wana Jamvi. Nimekuwa Nikisikia Wadada Hasa wa Mjini Wakiitana "Shoga" Mara Kadhaa Tu Tena Hadharani. Na Kutokana Tafsiri Mbalimbali Za Neno Hilo Zikiegemea Kwenye Vitendo Flani Visivyofaa Katika Jamii, Lakini Limekuwa Likiendelea Kutumika Na Dada Zetu.

Swali Langu Ni Je! Neno Hilo Lina Maana Gani Hasa Pale Wasichana Wanapolitumia Kuitana? Na Je Neno Hilo Lina Maana Zaidi Ya Moja?
 
BFF (Best female friend) ndiyo shoga kwa kiswahili halisi.Hivyo wana maana hiyo. Msenge (usenge) homosexual hafai kuitwa shoga..
 
Kwahiyo Mkuu Hapa Inaonekana Kuna Matumizi Ya Maneno Isivyosahihi!
 
Neno SHOGA ni asili ya wanawake kuitana hivyo na walianza miaka hiyoooo hata kabla computer hazijaja Tanzania.

Ila limekuja kuhusishwa na wanaume wanaojifanya wanaojifanya na kuwa na tabia za kike.....
 
Kwahiyo Kuna Watu Wameamua Kulichafua Hilo Neno Kwa Makusudi Kwa Kujiona Wao Ni Sawa Na Wanawake! Nimekupata
 
Habari Wana Jamvi. Nimekuwa Nikisikia Wadada Hasa wa Mjini Wakiitana "Shoga" Mara Kadhaa Tu Tena Hadharani. Na Kutokana Tafsiri Mbalimbali Za Neno Hilo Zikiegemea Kwenye Vitendo Flani Visivyofaa Katika Jamii, Lakini Limekuwa Likiendelea Kutumika Na Dada Zetu.

Swali Langu Ni Je! Neno Hilo Lina Maana Gani Hasa Pale Wasichana Wanapolitumia Kuitana? Na Je Neno Hilo Lina Maana Zaidi Ya Moja?
Shoga maanayake ni rafiki wa kike.Hili neno liko miaka mingi sana.Kwa hiyo wanawake kuitana mashoga(marafiki)ni sawa.Ila hawa wanaume wenye tabia za kike,walijingiza kuitana mashoga,ndio hill jina wakabandikwa wao pia.
Hali jina la shoga(rafiki wa kike),wanaitana wanawake kwa wanawake,mwanamme hawezi kumuita Mwanamke shoga yangu,kwa maana ya rafiki,lakini wanaume wenye tabia za kike,wanawaita wanawake shoga yangu,ambapo ni makosa.
 
Mkuu wanawake cku hizi wana hadi mashoga wa kiume chukulia mfano mtu kla sehem upo na demu flan mpka raia wanadhani unamega kmbe hujawai mshika ata t*ko baada ya hpo msindikizaji anavua hadi nguo mbele yko kwann ss usiwe shoga yke hapo
 
Duh! Hii Kali!
 
Habari Wana Jamvi. Nimekuwa Nikisikia Wadada Hasa wa Mjini Wakiitana "Shoga" Mara Kadhaa Tu Tena Hadharani. Na Kutokana Tafsiri Mbalimbali Za Neno Hilo Zikiegemea Kwenye Vitendo Flani Visivyofaa Katika Jamii, Lakini Limekuwa Likiendelea Kutumika Na Dada Zetu.

Swali Langu Ni Je! Neno Hilo Lina Maana Gani Hasa Pale Wasichana Wanapolitumia Kuitana? Na Je Neno Hilo Lina Maana Zaidi Ya Moja?
Konki konki konki,,,mamba,,oil chafu,,dudu,,,master.
 
Habari Wana Jamvi. Nimekuwa Nikisikia Wadada Hasa wa Mjini Wakiitana "Shoga" Mara Kadhaa Tu Tena Hadharani. Na Kutokana Tafsiri Mbalimbali Za Neno Hilo Zikiegemea Kwenye Vitendo Flani Visivyofaa Katika Jamii, Lakini Limekuwa Likiendelea Kutumika Na Dada Zetu.

Swali Langu Ni Je! Neno Hilo Lina Maana Gani Hasa Pale Wasichana Wanapolitumia Kuitana? Na Je Neno Hilo Lina Maana Zaidi Ya Moja?

Hili ni kwa ajili ya mikoa ya Zanzibar, Tanga, Dar....huko ndiko hili jina linaabudiwa sana na kina Mama kwa sababu wanasuguana na kulambana papuchi wakiwa faragha, si unajuwa huko hakuna wanaume?
 
Back
Top Bottom