Uhamiaji mkoa wa Mbeya mnachafua ofisi kwa viburi vyenu

Mr bons

JF-Expert Member
Jun 28, 2018
1,299
1,464
Jamani uhamiaji mkoa Mbeya wanatoa passport acheni ujeuri yaani mnachafua ofisi kwa viburi vyenu. Mnakalisha watu kusubiri passport kwa masaa mengi pasipo sababu mkiulizwa kwa nini mnakuwa wakali.

Kuwa ofisi siyo kwamba nyie akili nyingi kutuzidi sisi hizi ni ofisi za umma fanyeni kazi kwa maadili. Watu wamechoka na tabia zenu za manyanyaso.
 
Back
Top Bottom