Kumekuwa na kasumba ya ndugu/marafiki/classmate kuwasaidia watu wanaojiweza michango mikubwa ili kufanikisha shughuli zao kama harusi/ugonjwa/msiba/ada huku watu wa hali ya chini ambao ndo wanauhitaji mkubwa wakichangiwa kdogo/ kususiwa au kupotezewa kabisa wakati uhitaji wao ni kupush mambo yao kdgo tu mfano ukienda muhimbili/mwananyamala kuna watu vipimo cha 200000 tu vinawashinda wanakufa; ila mtu ameweza mpaka kwenda bondeni inamaana anajimudu vizuri tu; ni vile tu wenye hela wana pendana wenyewe.
Nimetoa mada hii baada ya kuona mchango wa mheshimiwa kwa tajiri ambaye inasemekana yupo bondeni kwa matibabu; sio kwamba yeye hawezi kumudu gharama ila ndo hivyo mkuu kaamua kumchangia boss mwenzake na hii ndio hali halisi iliyopo sehemu nyingi tz watu wenye nazo wanawasaidia wenye nazo zaidi kuliko makapuku hapo unaweza kuta kuna ndugu/classmate/ ambaye hana kitu kabisa na yupo hospitali na hawezi kulipia gharama ila ni ngumu sana kusikia amesaidiwa.. .