Ni nani huwa anawaandikia hawa waheshimiwa taarifa zao mitandaoni kwa kiingereza?

Nyaka-One

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
4,328
6,015
Nimeikuta hii mtandaoni nikashawishika kujiuliza kama ni wao wenyewe waheshimiwa au ni watu wengine ndio uwa wanawaandikia taarifa kuhusu maisha yao na kuziweka mitandaoni. Lakini hata kama siyo wao wanaoandika ina maana uwa hawapati nafasi ya kuzipitia na kufanya masahihisho kabla ya kuzitundika mitandaoni?

Education background

Hasunga early started his way to the world of knowledge where his parents took him to Iyula Primary school that was between 1976 to 1982 and he successfully completed his PCEE and being enabled to another step of Sangu Secondary Education in 1983 to 1986 where he acquire a CSEE, 1987 to 1989 Japhet Ngailonga Hasunga he saw the green light to the higher Education for gaining ASCEE at Mzumbe Secondary School, that was not the last movement of Hasunga, he acquired again a Professional Certificate of Accountancy (CPA)at the National Board of Accountancy that was between 1996 to 1998 its that results make a clear way to Japhet Ngailonga Hasunga, to join the Institute of Development and Management—Mzumbe in 1996 to 1998 where he was awarded a Advance Diploma Certified accountancy. In 1998 to 2001 joined the NBAA and acquiring the master Degree on Accountancy and Audit, Japhet Ngailonga is registered as an Accountant and Auditor. In 2006 to 20077 joined the MSM and being awarded Master Degree (MBA).
 
Dah kwa hiyo CV unakuta ni Waziri au kiongozi anayeaminiwa kwenye maamuzi, kifupi maisha yake yote ameyatumia kwenye shule hatakiwi kuaminiwa kwenye ngazi ya uongozi wa umma au hata sehemu za maamuzi maana hana exposure kwenye chochote alichosomea..Tuache kuwategemea watu kama hawa kwenye ngazi za maamuzi na kiutawala.
 
hapo alikuwa anaandika na kufuta ndio angalau umepata mwanga wa kile alichokuwa anamaanisha, kiingilish kisikie kwa mwenzio usiombe kikukute unaweza kuumwa gafla.
 
ACSEE=Advanced Certificate of Secondary Education Examination.
Ni cheti cha kidato cha sita, hayo mengine mwandishi amepuyanga sana.
 
Ndio maana elimu ya Tz inadharauliwa. Sasa huyu Kumbe husika ansona haya na akayaridhia, au kweli ni kanjanja?
 
ACSEE=Advanced Certificate of Secondary Education Examination.
Ni cheti cha kidato cha sita, hayo mengine mwandishi amepuyanga sana.
Hiyo yako inajulikana! Hasunga ana ASCEE! Sio hiyo yako!
 
Yani huyo kaandika kiswahili kwa maneno ya kingereza, tatizo hili wanalo watanzania wengi sana...
 
Back
Top Bottom