Bodi ya Mikopo (HESLB) wafungua Dirisha la Rufaa 2018/2019

Bodi ya Mikopo (HESLB) wafungua Dirisha la Rufaa 2018/2019

chagonjam

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
354
Reaction score
417
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapokea rufaa za mikopo kwa mwaka 2018/2019 kwa njia ya mtandao wao wa https://olas.heslb.go.tz Dirisha la rufaa litakuwa wazi kuanzia leo 21 Novemba 2018 hadi Jumapili, Novemba 25, 2018.

Wanafunzi waliokosa mikopo na wanaamini kuwa wanastahili au wamekamilisha viambatisho vilivyokosekana changamkieni fursa.
bodi ya mikopo.jpg
 
Back
Top Bottom