Hivi kwanini Bakwata mnatumika sana na CCM?

TOHATO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
1,479
Reaction score
5,326
Kwenye hutuba ya Leo Ya maulidi Yaani ni kuimba na kuabudu tupu... Haya ongelewi matatizo ya bakwata au waislam husika.. Mbona Wakristo hawapelekeshwi hivi jamani.. Nilitegemea swala hili LA dini iongelewe Dini sio hutuba za CCM pekee
 
ebu weka hapa hiyo hutuba nasi tusome mkuu!

ili tupate cha kuchangia.
 
nilikuwa narukisha channel za TV bahati mbaya nikafika ya TBC 1 nikaona niangalie looooooo aiseee ni kuabudu tupu ... Hadi sasa wanaendelea sifu
😂😂😂na pambio juu?
 
nilikuwa narukisha channel za TV bahati mbaya nikafika ya TBC 1 nikaona niangalie looooooo aiseee ni kuabudu tupu ... Hadi sasa wanaendelea sifu
Mkuu si useme tu kama ulikuwa unaangalia TBC, kwani baada ya kuangalia umebadilika nini acha kuishi maisha ya kimtandao humu JF kila mtu anamaisha yake binafsi kwanini ujilazimishe kuyakana maisha yako. TV yako angalia channel yoyote utakayopenda. Usifuate maneno ya watu wa JF. HUO UTAKUWA NI ULIMBUKENI.
 
Kwenye hutuba ya Leo Ya maulidi Yaani ni kuimba na kuabudu tupu... Haya ongelewi matatizo ya bakwata au waislam husika.. Mbona Wakristo hawapelekeshwi hivi jamani.. Nilitegemea swala hili LA dini iongelewe Dini sio hutuba za CCM pekee
kwenda huko "Khawarij" mkubwa we!
 
Kwenye hutuba ya Leo Ya maulidi Yaani ni kuimba na kuabudu tupu... Haya ongelewi matatizo ya bakwata au waislam husika.. Mbona Wakristo hawapelekeshwi hivi jamani.. Nilitegemea swala hili LA dini iongelewe Dini sio hutuba za CCM pekee

Juzi nilimsikia shehe akilalama kwenye clip moja kuwa serikali hii ya awamu ya tano inawabagua waislamu na kuwaondoa kwenye nyadhifa nyingi na kuweka wakristo. Pia alilalamika kuwa mashehe waliowekwa rumande kwa kesi za ugaidi, ila kwa kumalizia aliongea sentensi iliyonishangaza sana, kuwa ni waislamu ndio walioiokoa ccm kwenye uchaguzi 2015 la sivyo ingeondoka madarakani je hii ni kweli?
 
Ya Mungu muachie Mungu. Baraza limeenda vizuri tu leo. Kama kuna mtu ameudhika ni kafir tu, kwanza hayamhusu...
 
Mkuu si useme tu kama ulikuwa unaangalia TBC, kwani baada ya kuangalia umebadilika nini acha kuishi maisha ya kimtandao humu JF kila mtu anamaisha yake binafsi kwanini ujilazimishe kuyakana maisha yako. TV yako angalia channel yoyote utakayopenda. Usifuate maneno ya watu wa JF. HUO UTAKUWA NI ULIMBUKENI.

Kuliko niwe muongo(mnafki ) bora niwe muwazi.. TBC siwezi angalia ... Yaan labda itokee bahat mbaya kuna tukio kama LA Leo niseme niangalie kunani.. hivi na akiki zako Timamu waanzaje angalia TBC1 kila Siku?? kwa lipi hasa au???
 
Mkuu kuhusu masuala ya Waislam(BAKWATA) kusifia serikali hilo jambo achana nalo. Kuna mengi unayopaswa kuyajua na usiyopaswa kuyajua. Kuanzia sababu ya kuundwa kwa BAKWATA mpaka tukio hilo la MAWLID. Kama umezaliwa 2000 kurudi nyuma nadhani kuna baadhi unaweza kuwa unayajua.

JE WAJUA KUWA KUNA CHAPISHO NIKILIWEKA HUMU LAZIMA MELO ATAFUTWE KUOMBWA ID YANGU. NA IP ADDRESS?
 
Back
Top Bottom