jeipm
JF-Expert Member
- Sep 28, 2018
- 500
- 826
Kuna ujumbe nimeupokea kwenye simu yangu Leo asubuhi nahisi jamaa aliyeituma huo ujumbe alikosea namba, badae nikajaribu kumpigia simu nimtaarifu akupokea
Ujumbe huko hivi
"HABARI ZA WAKATI HUU AFISA ELIMU?
KUNA HABARI NAHISIKIA INATREND KWENYE MITANDAO HASA WA WHATSAP, KUNA GRUP FULANI HAPA KILOSA HASA LA WALIMU WENGI WALIOAJIRIWA AJIRA MPYA MWAKA HUU, WAMEPANGA KUJA KUFANYA MAANDAMANO HAPO HALMASHAURI YA KILOSA KUDAI PESA ZAO ZA KUJIKIMU NA SITAHIKI ZAO ZINGINE
KUNA JAMBO LIMENISHANGAZA HAPA INA MAANA TANGIA HAWA WAAJIRI WAPYA WAANZE KURIPOTI MWEZI JULAI HADI LEO MWEZI NOVEMBER HAMJAWAPA PESA ZAO ZA KUJIKIMU?
KAMA HILI JAMBO LINA UKWELI NDANI YAKE, WEWE NDO UTAWAJIBIKA
HAIWEZEKANI WE HUPO TU NA HAKI ZA WATUMISHI WAKO UMEZIKANYAGA CHINI YA VIATU VYAKO"
Nimejaribu kuulizia Kuna jamaa yangu ameajiriwa huko KILOSA amesema hiyo HABARI ni ya kweli
"Kwa huu ujumbe hysee walimu wana kazi" chama cha walimu Tanzania chukueni hatua juu ya hii dhuluma inayoendelea huko halmashauri ya kilosa"